Recent content by IRINA

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je mke mmoja anatosha kweli tuweni wawazi?

    Naomba kudandia mada,swali juu ya swali,kwa mnaosema mke mmoja hatoshi,je katika hao kadhaa utakaokua nao( namaanisha wake wa kuwaoa sio vimada vya nje) kuna utakayempenda zaidi? au upendo utaugawa sawa kwa sawa? hebu nisaidieni hapo
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My husband cheated on me with my best friend

    hahahahahah dah,nimfurahii kwakweli,Lugha ilikua na meli hiyo atii tutajinga'ata mwisho wake
  3. I

    JamiiForums Tanzania huwezi achaa

    hahahahahhahahha kwakweli we kaka ,you have made my night,au sisi Wana JF tukushindwa kuelewa ndo tuache,dah,au uliandika ukiwa na stress baada ya kutumia nguvu nyingi kwenye Hakuna ,pole mwaya.
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti ni ndugu yangu khaa

    We nae miaka sita ni mingi mambo yanabadilika,kwa kadri miaka inavyoenda kuna baadhi ya watu wanakua wa muhimu sana na wenginwe hawana umuhimu tena japo mtaendelea kusalimiana kama mara chache lkn haimaanishi mmechuniana ,mi naona jambo la kawaida sana,kwnza wakati unampigia una uhakika gani...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia imeisha!

    Mwezi Mungu tuepushie mbali yasiendelee, kusema ungefanya nini kwa haraka ni ngumu maana yamkini hata ukazirai.
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msichana wa miaka 25 bado bikra

    we nae!! sijui unaandika vijitu gani hivi,kwhyo unataka ushauri gani sasa unacheka mazuri hayo, au unaona ndo uanaume, nina mashaka na umri wako ,nahis under 18 weyee!! Kwanza waliotembea na mbinti totauti totafut wasingeshangaa kukutana na bikra yenye umri wa miaka 25 wala.
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

    Ndio maana unavyoviongea ni pumba tupu,usipojirekebisha ndoa itakushinda mdg wangu, unless other wise kama huna mpango wa kuolewa, kuna raha yake unapomcare husband wako mwenyewe na hudumisha ndoa pia, sasa kama una mawazao ya kifeminist na kutaka kukimbilia beijing mdg wangu wanaojua kucare...
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta: nilioa mke kwa kuvutiwa sura na umbo lake

    Mmmmm kaka,yap jina lawezakua lisiwe hoja katika hili ila headless!!! mimi si mwanabiologia sana thogh nahis tunafikiri kutumia akili,akili inapatikana kichwani sasa kama kichwa ni headless hapo si kasheshe maana yake hakiwezifikiri,anyway usiimind sana hii nilikua najaribu kukuonyesha kua...
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ataka nimalizia haja zake loooo

  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Mmmmm research nyininge bwana!,binafsi sioni uhalisia wa hii reseach labda kama alipima wadada aliodate nao yeye TU,ambapo hapo napo mtafiti nae atakua na mapungufu, kuna dada mmoja mfupi wa kama fut 5 hivi hagusi simu ya mumewe,wala kununa hajui,anamuheshimu mumewe ile mbaya,na kuna mwingine...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na Hoja ya Kutafuta Umaarufu wa Kisiasa Kupitia Kupanda Bajaj ama Bodaboda!

    we nae sijui umetumwa!! umeshaambiwa issue sio kupanda pikipiki, issue hapa ni kwanni aipublicity,hata akipanda baiskel,bajaji,pikipiki etc,kwani kuna jipya gani hapo yeye ni nani hata tusimame kumshangaa kua muheshimiwa kapanda pikipiki hivo ni vitu vya kawaida na wala sioni hoja yoyote hapo...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na Hoja ya Kutafuta Umaarufu wa Kisiasa Kupitia Kupanda Bajaj ama Bodaboda!

    we nae sijui umetumwa,sasa hapo afisadi nini,umeshaambiwa ishue sio kupanda pikipiki, ishu kwanni aipublicity,kupanda kwake bajaji,baiskel ,bodaboda havitusaidii chochote maana hizo ni issue za kawaida saana, kwani yeye ni nani kwamba akipanda boda tushangae, hivo ni vitu vya kawaida lkn...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla juu ya Boda Boda Arusha!

    Dah,shame up on him kwahyo mpiga picha alikua nani??
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viatu vya mchuchumio vinavyowatesa wanawake…..!

    Nikukumbushe tafadhali sio tren kama anaenda mbali hapana hapo anaenda kwa job,Treni ya Mwamkyembe atii
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto usingizini: Uchawi au ujinga…?

    Chali ni kulala kwa kutumia sehemu ya nyuma ya mwili i.e kulalia mgongo wakati kifudifudi ni kujilaza kwakutumia sehemu ya mbele ya mwili yaani unalalia tumbo ,na ndio maana ni rahisi kwa mtoto kuishiwa hewa haswa hao ambao hawawezi kujigeuza maana wawezakaweka uso kiupande lkn katika...
Back
Top Bottom