Pole kwa kuwa na hofu.. bado yupo ndani ya muda, akizidi wiki 42 tutasema amepitiliza siku.
Hapo kuna siki 14 tena za kujitizamia, hakikisha mama anakula vizuri, anapata muda mzuri wa kupumzika na kama una wasiwasi zaidi unaweza kwenda kituo cha kutolea huduma za afya ukapate majibu ya maswali...
Kununa sio vizuri kwa mambo yanayozungumzika.. pia kwa yeye kutokuona sio tatizo hapo ndio tatizo lilipo.
Nyie watu wazima mnaweza milo miwili vipi kwa watoto? Miaka 7 na hajabadilika kwa upendo tu muombe ajifunze kupika kwaajili ya watoto na wewe kwani sioni watoto wenu kuwa wenye afya na...
Pole kwa changamoto mkuu.
Unaweza kumsaidia mkeo ikiwa yeye anaona kuwa hilo ni tatizo lakini kama yeye haoni ni tatizo hapo wewe ndiye utakayeumia.
Pengine hawezi kupangilia ratiba zake, aanze na kipi? Kwavile ni mzito angekuwa anaamka mapema akaandaa kifungua kinywa ndio aendelee na shughuli...
Pole sana, msaidie hapo kwenye hasira kwani yawezekana ni kitu ambacho hata yeye hakipendi na namna ya kumsaidia ni kwa vitendo aone na kujifunza kwako.. kuhusu kumbadilisha awe mke unayempenda wewe nenda naye taratibu, usimchoke itafika wakati atakuelewa tu pia ungejua yeye anachohitaji haswa...
Utawezaje kumbadilisha ikiwa yeye hajataka kubadilka?
Yawezekana unamuumbia taswira ya unavyotaka awe na yeye anaona hafit kuwa vile unavyotaka.
Ukali kwa watoto je umejaribu kujua chanzo? Pengine ni hasira na msongo wa mawazo.
Kumbuka kuwa akibadilika yeye ni wewe uliyebadilika kwahiyo...
Ukiwa kazini usitake kuzoweana na watu.. nenda kazini, fanya kazi zako, kuwa bize na mambo yako.. ukitaka hivyo juu utaumizwa sana, waja wana maneno sana.
Usimzingatie mtu, hutasikia hayo maneno na ukiyasikia hayatakuumiza.. usisahau kusali kwa imani yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.