Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,115
- 3,811
Wanaume wengi wanakufa nsababu ya stress na depression kwajitakia.Hivi watoto ambao mama yao aliwabeba tumboni miezi tisa tisa haoni uchungu na kupitia uchungu huo afanye maamuzi ya busara ya kutulia na kulea familia ila ndio kwanza anawabwaga na kuwatelekeza ww huogopi kuwa kuna namna???!!!Ujumbe umepenya mkuu sikupingi... Hata sijajisikia vibaya zaidi nimeona nastahili fedheha kwa kuvumilia upuuuzi kwa muda mrefu ili kufurahisha watu na watoto
Swala la kuendelea kuteseka kisa watoto huo ni uzwazwa mwanaume kazi yetu ni moja tu KUGAWA MBEGU na ndio maana "mwanaume hazeeki",,,umagaribi ndo huu umeleta mambo ya hovyo kiasi kwamba wanaume wamekuzwa na kupandikizwa mbegu za kuwafanya wawesoftsoft ili kuharibu taasisi ya ndoa na mwshowe jamii kuvurugika.
Kama mwanamke hakusikilizi ujue hata hao watoto aliowazaa hawatakusikiliza na kulingana na NATURE nyoka ni nyoka!!! wakiwa wakubwa wataungana na mama yao na watakufanya kitu mbaya ukae ukijutia maisha yako yote.
Wanaume jifunzeni kujiweka sisi mbele hii dunia haina huruma na wanaume.Jiweke kipaumbele and be selfish to the maximum for ur safety.
Ukicheza haya maisha utakuwa mfano kuwa ww ni SIMP na ubaya ni kwamba utatumika kama daraja na mwisho utakufa na kusahaulika haraka sana.
Kama umeacha mke mwache na mitoto yake. Asiyesikia aendelee kusubir time ya kupigwa tukio aje hapa tumpe pole!!!!

