Recent content by Iqramxxx

  1. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili tuzo ya Nobel katika marais 6 tuliowahi kuwa nao Tanzania?

    Kuna tuzo alinyakua raisi wa ghana magufuli alikuwepo kwenye ligi
  2. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Huwezi kumchukua aliyepata divisheni 1 ili akalinde benki au kucheza gwaride, lazima muelewe jamani

    Kwa hiyo timu wazelendo mnatakiwa mwende vilaza kulinda benki
  3. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Anapotoshwaje?
  4. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Guinea: Rais wa Mpito ateua Waziri Mkuu

    Watapiga hatua
  5. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz - Mama Samia

    Chura anaruka chura chura anaruka chura
  6. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

    Leo nimeota nimepiga nyoka wawili vichwani na wamekufa kwa kutunia jiwe hii ina maana gani mmoja alikuwa wakijani anatoka kama pangoni mwingine mweupe alikuwa akitaka kuingia ila anasita kwa kuwa anamuona wa kijani anatoka pangoni ila hawakupigana wao kwa wao
  7. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hatari hii
  8. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Greenwood anaanzaje mbele ya cavan na ronaldo? [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Iqramxxx

    JamiiForums Tanzania Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leo

    Tumpe pole
Back
Top Bottom