Kashfa ya Rambirambi: Mwenyekiti Steve Mengele Wajumbe Wolper, Shilole na aunt Ezekiel

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,603
141,421
Steve Mengele amesema yeye hajala hela za rambirambi za msiba wa Agnes Masogange bali fedha hizo zimehifadhiwa na wanakamati wake kwani yeye alikuwa ni mwenyekiti tu. Kamati aliyounda ilikuwa na watu watatu ambao ni Wolper, Shilole na aunt Ezekiel ambao ndio wanatunza hizo sh. milioni 2 zilizosalia. Source Clouds tv!
 
Wote timu lumumba hiyo tabia wamerithi kwa mwenyekiti wao aliekula rambirambi za wahanga wa tetemeko kagera,kwahiyo ufisadi wa rambirambi ccm ni kipawa wamejaliwa na mungu
 
hao wote wadangaji "" si huyo Steve nyerere wala hao mashoga zake "" wallahi wakizifikisha hzo hela Salama basi shetani itakuwa katumbuliwa""

halafu waache uwongo yaaani michago yote hiyo ndio wamepata million 2 tu "" wameshajipigia pasi nakufunga wao wenyew eeehh"""?!??

ml.2 hiyo sibei ya flat TV Samsung LED nchi45 pale mlimani city""
 
Wote Team lumumba hao Duh.....

Ova

Tusipoangalia zitapelekwa kwenye hospital ya Muhimbili kwa ajili ya kuimarisha majengo.

Nimekumbuka tu kisa cha rambirambi za watoto wa Lucky Vincent Arusha 2017
 
Back
Top Bottom