Ukweli ni kwamba wengi walioko ndani ya system wanakerwa na washtakiwa na dhamira kuendelea kuunyamzia unyama na uovu unaoendelea lkn wanakuwa waoga kusema.Lakini iko siku na haiku mbali wataamua kusuka au kunyoa na ndipo tutakaposhuhudia hapa yakitokea yale yaliotokea Zimbabwe na Afrika Kusini.
Mkuu nilitaka kukuamini jinsi ulivyo anza,lkn akili zangu zimeshindwa kukuvumilia.
Hivi tofauti na kundi la"WASHEREHESHAJI WA MFALME" ni kundi gani sasa hivi ktk nchi hii lianafurahia shughuli halali inayojishughulisha nayo au kuwa na uhakika wa kitakachotokea kesho.Si mfanyakazi wa kutegemea...
Ki
kubwa tu ni kupambana kutafuta hela maana kwa dunia ya sasa ndio heshima!Halafu ukute basi huna hela na pia elimu ya kueleweka huna,hii dunia ni chungu!
Huu ndio ukweli au maana ya kuishi ktk dunia hii ya Mungu,ila tegemea michango michache sana na haswa kwa vijana wetu waishi kwa kutegemea zali la "MENTALI"Tena wasio na msamiati wa SUBIRA ktk ufahamu wao!Ila tuschoke kukumbushana haya pale tupatapo fursa na nafasi ili pia iwe sehemu mojawapo ya...
Hao wote hawahami eti kwenda kuwatumikia watz,bali ni kwa maslahi binafsi,ikiwemo kushibiswa hayo matumbo yasiyo jaa,kujihakikishia ulinzi wa yale waliyopora kwenye awamu zilizopita na kutegemea kuendeleza uporaji wakiwa huko!huyu mzee kajittajirisha sana huko chukua chako mapema na sasa...
Inatia hasira sana hawa wanasiasa wanojiona wasomi kuwafanya watanzania kuwa hawana akili kiasi hicho cha kushindwa hata kuangalia picha hata kama hawajui kusoma!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.