The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
- Thread starter
- #41
nilipanga niwe narudi usiku sana kwa siku wiki hii halaf asubuhi nasepa sababu wenyewe wanajua naenda kazini... ila halitawekwa kipolo kweli siku kama wikiend likaamshwa kesi upya..!!!Leo usirudi home. Njoo ukae kwangu wiki, ukirudi utakuta soo limeshapoa.