Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Natamani kumpiga mke wangu, ni sahihi?

Hiyo ni adhabu ya kumsaliti mkeo, achana nae jitoe kwa mkeo ufurahie maisha nae
 
Sio.mchepuko.mama..ni.mke na tuna watoto wawili kwa nini huelewi? Michepuko ni ile ya kukojoleana tu nankitembea na yesu. Mimi.ni mtu nina majukumu mengi na kazi nyingi sina muda wa kutembea na wanawake wengi kama waume zenu wengi walivyo. Naamini pia ni nuksi katika maisha. Msimamo wangu wake zangu wote wanaujua
Mkuu umenichekesha mno inaoneka Uko strictly eti wake zangu wote wanajua msimamo wangu bora Wewe muwazi na hiyo inasaidia kutokutenga watoto
 
hivi ile kesi ya mwana wa mfalme Zanzibar ya kushikwa na polisi imeishia wapi?
hawa wanasheria bana.
 
Elimu mtaani imenifunza wanawake ni wa kukaa nao kwa akili,au ishi na mwanamke kwa akili.
hii kauli ni sahihi na kila mmoja kuna namna yake ili uweze kumtendea vyema,kama unaona makofi ni suruhisho haya.
 
sio sahihi, tafuta suluhisho kwa namna ingine wewe ni kichwa cha familia huwezi shindwa kupata ufumbuzi mpaka umpige mkeo.
 
Sio.mchepuko.mama..ni.mke na tuna watoto wawili kwa nini huelewi? Michepuko ni ile ya kukojoleana tu nankitembea na yesu. Mimi.ni mtu nina majukumu mengi na kazi nyingi sina muda wa kutembea na wanawake wengi kama waume zenu wengi walivyo. Naamini pia ni nuksi katika maisha. Msimamo wangu wake zangu wote wanaujua

Huo ni mchepuko
Kwa sababu haujafunga nae ndoa bali umezaa nae tu.
Mkeo naamini hajui kuwa upo na huyo mchepuko na pesa nyingi unamalizia kwake.

Huna hata aibu kuja kuandika haya humu.. namuombea mkeo akujue yako na akunyooshe na huyo mchepuko unalo haswa.
 
Hivi nyie mnaolazimisha kula mke mja kwamba ndo nn labda,kusumbua ni sehm ya maisha ya wanawake ni kila mtu na akili ya kuwatreat kulingana na kila mja alivyo
Hizo ni hoja za wanaume dhaifu
Ila mkuu kwanini una wachanganya hao wanawake? Kwanini hujaamua kutulia na mke mmoja.....
 
Utajisikiaje hao wake zako nao kila mmoja awe na ka mchepuko permanent ili kufidia wanavyovikosa kwako???
Madam,suruhisho sahihi kwa mwanamke anayechepuka,hata kama ni kwa kisingizio cha kulipiza kwa mwenzi wake, ni kumuacha tu.Kuishi na mwanamke mchepukaji ni hatari kwa usalama wa mwanaume.
 
Back
Top Bottom