Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Serikali ya Kenya imewaruhusu wapinzani nchini humo kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga kuwa Rais.
Wapinzani wanasema Odinga alishinda uchaguzi mkuu wa August 8 2017 na wamepanga kumuapisha leo licha ya kwamba Uhuru Kenyatta alishaapishwa kuwa Rais.
Taarifa kutoka Kenya zinasema Polisi wameondolewa katika viwanja vya 'Uhuru Park' ili wapishe zoezi hilo. Hata hivyo Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo aliwahi kueleza kwamba kitendo hicho cha kujiapisha ni uhaini wa hali ya juu na kwa Sheria za Kenya adhabu yake ni KIFO.