Recent content by ip_mob

  1. ip_mob

    Ulipokeaje na ulikuwa wapi siku ya tarehe 17 Machi, kifo cha Dkt. Magufuli

    Nilikuwa Longido kikazi. Nataka nilale nikatumiwa sms kwamba mzee amefariki. Sikuamini basi nikabidi nimpgie jamaa yangu nimuulize, nikajibiwa ndio nisubiri Habari tbc. Baada ya hapo nilienda kulala mida ya saa 4 kasoro usiku, ila niliweweseka kwa mawazo (sikutaka kuamini kabisa) mpaka saa 6...
  2. ip_mob

    INAUZWA Vinauzwa vyote 180

    Mbona hamna mawasiliano?
  3. ip_mob

    Nashauri tuwaoe wasaidizi wa ndani ndio wake bora

    Dogo tena mkuu! Kweli jamii forum kuna makubwa. Yaani unaweza kuitwa dogo na mwanao.
  4. ip_mob

    Nashauri tuwaoe wasaidizi wa ndani ndio wake bora

    Ngoja tuendelee kutafakari mkuu
  5. ip_mob

    Nahitaji miwani ya macho

    Habari mkuu. Mnapatikana wapi hapa mjini na bei ya frame zinarange kiasi gani. Ahsante
  6. ip_mob

    Management and Development for Health (MDH) Jobs, April 2021- (5 Various Posts)

    Haha ni kweli kabisa. Mimi nina mfano halisi kabisa kwa mtu alieyeingizwa kwa connection. Ni wa jinisia ke. Na aliniambia mwenyewe. Walikuwa wanataka mtu mwenye MPH kwenye hiyo position ila yeye alikuwa na bachelor tu hata cheti hajapata na less experience. Anasema aliombwa mambo akamalizana na...
  7. ip_mob

    FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

    1. Simba Sc 13pts (4 wins and 1 draw) 2. Al ahly 8pts (2 wins, 2 draws and 1 loss) 3. As Vita 4 pts (1 win, 1 draw and 3 losses) 4. Al merrikh 2 pts (2 draws and 3 losses) So unachosema hakiwezekani mkuu.
  8. ip_mob

    Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

    Yeah man.. Come and go ni moja ya kazi yake kali sana.
  9. ip_mob

    Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

    Galantis (ni duo na sio mtu mmoja) wanajitahidi sana.
  10. ip_mob

    Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

    Mimi naipenda meaning. Kali sana.
  11. ip_mob

    Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

    Eeeh bhna dogo alifariki
  12. ip_mob

    Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

    Ahsante kwa ujumbe mkuu.
Back
Top Bottom