Recent content by Inyasiloyola

  1. I

    The Economist wamsanua tena Magufuli uzazi bila mpango. Wasema ma amri amri hayataboresha serikali!

    Acha kudanganya watu. Uingereza yenyewe haijafikia watu 100 million!
  2. I

    Mtwara tachnical secondary special thread

    Nimeona hiyo basketball court nyuma ya Bweni la Uhuru. Tuliiweka sakafu kwa mara ya kwanza kuelekea michezo ya Umiseta 1978.
  3. I

    Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    Vitu vya mtumba, siyo magari tu huuzwa duniani kote. Pale Marekani utakuta maduka kama Savers, Goodwill n.k yanauza vitu vya mtumba kama nguo, vitabu. vyombo vya nyumbani n.k. na wanaonunua ni wa humo humo nchini. Hatujalingana kwenye vipato. Ndugu kama wewe unaweza kununua brand new basi...
  4. I

    Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

    Huyu jamaa anavyojibu maswali inaonekana katulia. Tumtakie kila la heri. Maharusi wapya pia tuwatakie kila la heri. Mengine yote tuchukulie yamepita.
  5. I

    Hamu ya kuendesha gari jipya huisha baada ya muda gani? Maana situliii!!

    Umekumbuka kubadilisha matairi na kuweka mapya? Hayo yanayokuja na gari hata kama yanaonyesha upya yakague 'expire date' yake vinginevyo huwa yanapasuka bila taarifa.
  6. I

    Sifa, uwezo na mapungufu ya Suzuki Escudo Grand V6

    Kwanza tuanzie kwenye hiyo Suzuki Escudo 4S. Jina hilo kidogo ni geni. Tafadhali weka picha.
  7. I

    Tujikumbushe: Africa writers series

    No longer at ease by Chinua Achebe.
  8. I

    Tujikumbushe: Africa writers series

    Sahihisho, The River Between by Ngugi wa Thiong'o.
  9. I

    Kadi tatu za njano alizopata Fakhi mchezaji wa Kagera sugar hizi hapa

    Hata Serengeti wanatua Gabon kwa maamuzi ya mezani. Haitaki hasira kikubwa taratibu za mchezo zizingatiwe.
Back
Top Bottom