The Economist wamsanua tena Magufuli uzazi bila mpango. Wasema ma amri amri hayataboresha serikali!

Good for them kunitoa kizazi aisee, vinginevyo nitazaa hadi mayai yaishe. Kisu kwani nene na unajuaje kama sina bado?
Hebu tusitishane arifu.
Chanua mama ili tulijaze Taifa letu,wanaoabudu kizazi Wa mpango ni magoigoi hawawezi kupiga miti
Nalog off
 
Ama kweli katika hili namuunga mkono Mzee baba asilimia mia hatuwezi kuwa watu wa kuletewa masera toka nchi za watu tunayakubali tu. Ukiona uchumi umeyumba piga stop ukiweza kuwalea fyatua tu... Who are they to decide everything for me....
 
Wanajua kuwa ni kiongozi JEMBE.. anawatetemesha..
Bajeti ya serikali ya Tanzania ni ndogo kuliko mauzo ya DVD London.
Uchumi wa Jimbo la California ni mkubwa kuliko nchi zote za Kiafrika kusini mwa Sahara
Hivyo viongozi wa nchi hizo wanamuogopa Kichaa sio?
Pathetic
 
Bajeti ya serikali ya Tanzania ni ndogo kuliko mauzo ya DVD London.
Uchumi wa Jimbo la California ni mkubwa kuliko nchi zote za Kiafrika kusini mwa Sahara
Hivyo viongozi wa nchi hizo wanamuogopa Kichaa sio?
Pathetic

Wewe ndio umejijaji hapo.. 🤣🤣🤣
💉💉💉
 
Sioni ajabu kwani mataifa yenye uwezo na sauti kubwa ndio yenye idadi kubwa Zaid ya watu duniani kwa mfano CHINA,INDIA KOREA n.k kwahiyo KUPANGA UZAZI SIYO NDO KUWA TAIFA KUBWA NA BORA KIUCHUMI! AU WATU WAKE KUWA NA KIPATO KIKUBWA!
USHAURI: TUACHE UVIVU TUCHAPE KAZI TUJIONGEZEE KIPATO
 
Back
Top Bottom