Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

Binadamu hatuko sawa kiuchumi so anaenunua kaused kake muheshim maana kinamsaidia yy,na ambae ananunua brand new kutoka UK,german nao inamsaidia yeye... So mwenye akili timamu hua hapondi wala kudharau mtu yyte hata asiekua na gar... Pole sana bahat mbaya tuna uchungu ya watto wa wenzetu waliofariki jana kule arusha lasivyo ungekula matus yakutisha
 
Ndo tabu za watu wenye roho za kukosa hubakiza majungu tu.
Haya tuambie wewe unamiliki gari gani? Hata kama unamiliki buggatti binadamu hatukosawa hayo unayoyaita baby Walker hawajatengenezewa mbuzi tumetengenezewa watu kuendana na vipato vyetu.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba.
 
Mkuu vp yamekujiri yapi?

Kuna jamaa aliambiwa akimbize kuku wamchinjie mdogo wake, kisa mdogo wake mambo supa (amepack mkoko wa maana) tangu siku hiyo akawa na hasira kinoma na umaskini wake. Nakushauri tumia hasira hizo kutafuta maendeleo
Hahahaah ndio kama huyu mtoa mada.!
 
Vitu vya mtumba, siyo magari tu huuzwa duniani kote. Pale Marekani utakuta maduka kama Savers, Goodwill n.k yanauza vitu vya mtumba kama nguo, vitabu. vyombo vya nyumbani n.k. na wanaonunua ni wa humo humo nchini. Hatujalingana kwenye vipato. Ndugu kama wewe unaweza kununua brand new basi hongera na waombee na wengine wafike hapo.
 
Kungekuwa na usafiri wa jumuia unaoeleweka wala watu wengi wasingesumbuka kununua mitumba, lakini kwa usafiri huu wa public ni heri kuwa na baby walker ya toyota tena na kiyoyozi, kuliko kuingilia dirishani kugombania daladala za posta-g/mboto
 
Nashangaa sana Imekua kama Vile symbo Moja wapo Ya Utajiri kwa nchi za Africa especially Bongo Land kwa Mtu kumiliki Gari.
Gari lenyewe sasa Mtu analotamba nalo Ni Toyota Brand,nyingi Zikiwa Hizi Baby Walker. ..
Mtu ananunua katoyota Basi ndio hata akifika mahala kwenye Kakikao cha Ukoo anataka asikilizwe yeye tu hata kama ataongea pumba. .
Mtu unakuta ni Chembamba kuliko Fidodido ,ila atakavyojitanua sasa sanamu la michelini halioni ndani.

Ufunguo siku izi wanaweka kwnye kale Kadude ka mkanda. ...

Ivi mnajua Huo Mtumba wako wa Gari Nchi nyingine ni Dumped Product Ama ! Unajua Kuna nchi Nyingi Gari yako hiyo unayojidai nayo Ukithubutu kuigiza Nchi kwao unaweza Fungwa Hadi Miaka 30 Jela kwa Kuingiza Bidhaa chakavu.

TUPUNGUZENI MBWEMBWE NA HIVI VIUCHAFU VYETU JAMANI.
MBWEMBWE ZIANZIE HAPA


0KM BRAND NEW CAR /SUPER BRAND ..SUPER BRAND NAZUNGUMZIA KINA BMW NA NDUGU ZAKE.
ILA KWA SISI WENGINE TUWENI TU WAPOLENI TUNAMILIKI TAKATAKA.

Binafsi nnachoendelea kukikomba mwaka huu , moja wapo ni hili , Gari langu la pili lisitoke kwa Hawa Jamaa wa Japan Used Car na Liwe ni Brand New 0KM.
My Case is Different.

Umeongea ukweli uliopitiliza na utawaumiza wengi sana roho

Hapo bongo umaskini umetamalaki kwenye kipato mpaka kwenye akili zao
 
Back
Top Bottom