mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 906
Wanabodi, naomba msaada wa hiyo gari, nataka kujilipua na katika gari za juu, naiona hii itanifaa, by the.way nimewahi kumiliki suzuki escudo lakini ilikuwa 4S.Mwenye kuijua hii gari hasahasa mapungufu yake kwa mazingira yetu ya kibongo naomba msaada.