Dhambi ya kulala na mama kwa wanaume au mama kulala na mwanae wa kiume na dhambi ya ndoa ya jinsia moja nahic ni dhambi ambazo hata shetan anakuwa surplised
Ni bora ujue sheria inasemaje nahis hajajua sheria inaongeleaje kuhusu madaraka ya rais , rais hatukanwi jua hilo na pia kikiwete sheria ya kukamatwa kwa watu wanao tusi mitandaoni imemkuta mwishon mwa uongozi wake so asiseme kikwete alikuwa anawaacha awal haikuepo jua hilo mm nikushaur...
Pole sana kwa yaliyo kukuta ndugu yetu.
Ila naomba nikushauri ww na wengine ingawa maji yamesha mwagika na hayawez kuzoleka ila jua kuw mtoto wa kike hasomeshwi na mpenz au mume wake utakuja jinyonga, wengi wameumia sana kama ww ukienda mavyuoni ndio utajua wake za watu wanafanya nn wakiwa...
Pole kwa hilo, ila nachojua mm kubet kuna vitu vya kuangalia na sio ushabiki mfano
1. Perfomance ya tim unazobet ip ni bora. Kuliko nyingine
2. Ipi ina historia ya kuifunga nyenzie maana sometimes hist huwa inajirudia
3. Ipi ipo home/away baadh ya timu zikiwa hom e ground kufungwa ni vigum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.