Hashim nashukuru kwa mchango wako , binafsi namalizia masharti ya Serikali katika kuomba kufanya miradi na biashara shirikishi nikapa vibali nitarudi hapa nikwambie hatua tunazopaswa kuchukua watz , nimetembelea mikoa 6 na nimeziomba taasisi 3 za hapa Tanzania msaada wa kusupport Taasisi yangu...
Matatizo ya partnership hayo pole sana , lakini umejifunza ingawa na wewe usipende
Mambo ya kutuma tuma pesa uwe unaomba ruhusa upelele pesa mwenyewe.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu mdada kwa kweli alikuwa na udhubutu;
Maana alifungua bites center pale mlimani city kuvutia biashara , ukiingia anakuuzia chai sambusa tatu buree baada ya mda pakajaa , baadae akaamzisha bufee wajichotea tu kwa tsh 6000/= pakajaa maradufu , nilimuona ana udhubutu wa hali ya juu ukizingatia...
Nitumie kwa address ;
Francis Mwangomba Athumani
P.o Box 13327
Dar es Salaam
NB: Natanguliza shukrani na Mungu akubariki zaidi kwa kujitoa kwako kufanya kazi yake ya kusambaza neno lake.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hongerenj wanawake na wasichana kwa siku ya wanawake Duniani , sisi wanaume tunawapenda sana na tunawapa pole kwa kutuzaana kutulea ingawa nanyi mnatakiwa muwe na shukrani kwa wanaume na ambao ndio walio shipa mpini wa maendeleo ya mwanamke .
Hata mlipokutana mjjni Addis Ababa, Ethiopia mwezi...
Nachokushauri
Ukiendelea na masomo huku ukiendelea na masomo itakuwa nzuri zaidi utakuwa na cheti pia uzoefu wa kufanya biashara hiyo hiyo ndogo .
Kama umri wako ni mdogo below 30 yrs , stop biashara kwa muda ; tafuta kazi kwa bidii zote , ukija kupata kazi itakusaidia kujua kupitia hapo...
Mkuu
Wote mna profession moja medical officers lakini Infantry umeingia mkataba wa ajira na serikali kuhudumia wagonjwa wa serikali katika hiyo hospital A kwa taaluma yako kwa malipo ya Tsh 2m kwa mwezi wagonjwa waongezeke wapungue utabaki na hiyo 2m kwa mwezi.
Nkosazana ameingia mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.