Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

Ni kweli mkuu usemalo amebaki clouds kama kutoa shukrani lakini nlisikia interview yake anasema 2008 alikua analipwa mara tano ya ITV alipokua anapokea 300,000 means ni 1.5M lakini miaka 12 yupo apo means ameisha renew mikataba anaweza kua analamba ata 3.5 uko now japo mishe zake zinaingiza pesa nyingi sana zaidi ya kazi yake clouds maana anafanya matangazo ya kampuni nyingi sana na ninacho mpenda jamaa ni kua ni mtu mtaratibu sana na mkweli nlipo skiliza interview yake nlipata mambo mengi sana kujua kwamba ata kama umefeli class kutoboa maisha kupo kama ukipambana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kinachomfanya kubaki Clouda sio mshahara tena ila ni kupush mambo yake yaende kiwepesi and pia fununu ni kama Amplifaya imekuwa kama partnership sasa, coz mwamba anauwezo wa kuinunua ile airtime yote na kipindi kimeleta faida kubwa sana kwa matangazo yanayoruka
 
U jobless wa akili ni kazi na gharama kubwa a...

Yaani kwasababu huna kazi ndio maisha yako yote umededicate kwenye kufuatilia vipindi vyote vya redio zote na tv zote?
Huo muda ungeanzisha kijiwe Cha kubrashi viatu, au ungeanza kazi ya udobi kwa siku minimum unalaza 20'000/- ambapo kwa mwezi ni sh. 600'000/-
Acha afanye anachokipenda bujibuji

Maisha bila furaha na upendo ni bure hata kama una hela na miradi mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In totally.. unadhani jonijo kabla ya kuingia wasafi alikuwa anàfahamika na watu.jibu ni noo
Ndio ujue wasafi wana impact kubwa
Unadhani watu wataanza kumfuatilia jonijo huko alipo jibu ni noo
Ndio ujue wasafi wana impact kubwa
Kwaiyo wasafi inaendelea kuwa media inayopendwa hata wangemleta presenter asiyejulikana.
Kwa hiyo alipo enda jonijo huko ni kama ameenda kujifukia kwenye shimo tu .

Hivi mtu imara sasa hivi anamishe gani pale wasafi.. najua kuwa Cally amebaki kwenye kipindi chake kile cha wasafi tv
 
Hata mi jonijo nimemfahamu akiwa Wasafi nilikuwa simfahamu kabisa huyo jamaa
 
Ni kweli mkuu usemalo amebaki clouds kama kutoa shukrani lakini nlisikia interview yake anasema 2008 alikua analipwa mara tano ya ITV alipokua anapokea 300,000 means ni 1.5M lakini miaka 12 yupo apo means ameisha renew mikataba anaweza kua analamba ata 3.5 uko now japo mishe zake zinaingiza pesa nyingi sana zaidi ya kazi yake clouds maana anafanya matangazo ya kampuni nyingi sana na ninacho mpenda jamaa ni kua ni mtu mtaratibu sana na mkweli nlipo skiliza interview yake nlipata mambo mengi sana kujua kwamba ata kama umefeli class kutoboa maisha kupo kama ukipambana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Exactly mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli..hizo bills ndio zitakua covered na mshahara wa clouds? Alaf haya mawazo ya kushuka umaarufu ndio yanafanya weng washindwe kudeal na channels zao to the maximum..ndio uwoga niliosema hapo juu..yani sjui kwann ukishakua na boss unakua muoga kufanya mambo yako..jifunze kufanya mambo babu...acha uwoga
(shukrani tu and not otherwise) hata Channel yake kama inamlipa mpunga mrefu kumbuka ana bills za kulipa ana team yule ya watu wengi tu wanadai mishahara, anatakiwa alipe kodi, yeye ni Brand na Clouds ni brand wote wanabebana, leo hii akitoka Clouds umaarufu/Kipato chake hauwezi kuwa kama alivo clouds elewa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In totally.. unadhani jonijo kabla ya kuingia wasafi alikuwa anàfahamika na watu.jibu ni noo
Ndio ujue wasafi wana impact kubwa
Unadhani watu wataanza kumfuatilia jonijo huko alipo jibu ni noo
Ndio ujue wasafi wana impact kubwa
Kwaiyo wasafi inaendelea kuwa media inayopendwa hata wangemleta presenter asiyejulikana.
Kwa hiyo alipo enda jonijo huko ni kama ameenda kujifukia kwenye shimo tu .

Hivi mtu imara sasa hivi anamishe gani pale wasafi.. najua kuwa Cally amebaki kwenye kipindi chake kile cha wasafi tv
Mtu imara bado yupo
 
Ni suala la muda tu na yeye mtuimara aka mtimkavu,
mwamba kachili on this one, atamjoin jonijoo kule E-fm,kama sio mtuimara basi iamcalypso ataenda kule
Kama mondi atakuwa anashajifanya hajari.
 
Bado sijakuelewa mkuu, suala la maslahi always huwa hayatoshi na ukiendekeza utaharibu career yako ndio kama yaliyomkuta PJ, Jonijoo alisepa timesfm, tuseme maslah labda tusemw na airtime, sasa na Wasafi ni maslah kwahiyo na Efm maslah yakiwa maduchu atasepa?

Kuna aina 2 za watu
1. Maslai kwanza
2. Maslai yatajileta kwa kazi yangu kwanza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom