Business Opportunities after corona pandemic

MR BINGO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
1,092
2,270
Wakati dunia ikiendelea kupambana na janga hili la corona lilokuja kwa kasi na kuenea katika nchi mbalimbali katika mabara yote duniani ningependa kupata mawazo yenu juu ya sehemu za kuwekeza au "business opportunities" zitakazojitokeza kutokana na janga hili la corona because business is all about opportunities.

Ningependa kujua soko la dunia litakuwa na uhitaji gani kiujumla.

Ni hayo tu.

You are welcome & stay safe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mask,sanitizer,gloves, ndoo (zile zenye koki)
 
Umechelewa ndoo kila mtu mfanyabiashara ameshanunua. Labda uanze kutengeneza sabuni za maji
 
Stock market ...hisa ztakuwa chini sana wakati huu ni kuchangamka kununua.....baadae kuuza kwa bei kubwa ..
I stand to be corrected

Hata jana nilidiscuss hii ishu na bro....natumai tutapata mawazo chanya hapa
 
Wenye kujua biashara za hisa , tujuzeni tuelimike.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom