Tanzia: Roman Luoga afariki dunia

Tanzia: Roman Luoga afariki dunia

Kifo kutangaza anayeleta ajieleze yeye no Nani kwa marehemu na aweke hati ya kifo vinginevyo moderators waleta matangazo ya vifo wapigeni ban kama hawakidhi hivyo vigezo


Mtu amefiwa atapata hata muda wa kuingia na kupost humu!!!!!!! Si atawapa marafiki ama ndugu zake wa mbali wamfikishie taarifa ya kifo!! Lengo lako ajianike co! Utasubiri sana
 
1. Roman Luoga
2. OCD Chalinze
3. DC Geita
4. Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi CCM
5. Mganga mkuu
Hao ndio vigogo wa leo
Heshima ni kitu cha bure una uhakika wamekufa kwa corona? Moderators tendeni vifo watangaze ndugu na waambatanishe death certificate huu mwendo si.mzuri kwa jamii forums na kwa hadhi yake
 
Mtu amefiwa atapata hata muda wa kuingia na kupost humu!!!!!!! Si atawapa marafiki ama ndugu zake wa mbali wamfikishie taarifa ya kifo!! Lengo lako ajianike co! Utasubiri sana
Uombwe na ndugu uelezecaliyejutuma akupe na death certificate
 
Heshima no kitu una uhakika wamekufa kwa corona? Moderators tendeni vifo watangaze ndugu na waambatanishe death certificate huu mwendo si.mzuri kwa jamii forums na kwa hadhi yake
Acha kufundisha watu jinsi ya kufanya kazi ww, Kama VIP kaanzishe forum yako , uweke utaratibu huo unaouhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. Luoga.
002811c72f964dce988c703de41434ac_1588862323882.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzia - Ni habari zilizo pokewa za kifo kilicho tokea mahali mbali na kifo kilicho tokea na mahali husika. Mfano kumpa Pole aliyefiwa na mtu wake mpendwa kwa kumpa Mkono wa Tanzia au mchango wowote ule uwe wa Kifedha, Mawazo au kumsaidia kwa tatizo hilo la kifo kilicho fikiwa na Muhusika
Tanzia maana yake nn hivi?




Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

AMEN
 
Dah R.I.P mwalimu wangu. Nakumbuka ajira yako ya kwanza kabisa ulipangiwa kufundisha katika moja ya wilaya za mkoa wa Mbeya. Ulianza kufundisha shule niliyosoma na ulikua unanitandika sana bakora , ndo maisha lakini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom