Recent content by inocent

  1. I

    Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

    Naona giza mbele. natakiwa nikimwona polisi nijisikie salama lakini kwa sasa nikimwona polisi inabidi nikimbie maana usalama wangu unakuwa mashakani. Kuwepo usalama wa Taifa ni faraja,lakini kwa hali hii hakuna faraja tena. Tukimbilie wapi sasa?
  2. I

    Okay, tumefukuza madaktari, then? Ningekuwa rais hotuba yangu ingekuwa hivi...

    kwa taarifa zilizopo ni kuwa vyuo vya udakitari wameambiwa undergraduate wote wafaulu.Hakuna mwanafunzi kufeli hata kama ni kilaza.Pia senate za shule husika zimekaa mapema kuliko ilivyo kawaida ili kutoa madakitari wa intern kufidia pengo la waliofukuzwa. kwangu nadhani sio solution kwa wakati...
  3. I

    Kesi ya Uchaguzi Igunga

    ED ya mwezi mzima ni kali. Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Nakumbuka Mbowe alibebwa na ndege to Arusha na Dr Namala alipelekwa mahakamani. Kumbe kuna Ed ya mahakamani na Ed ya Bungeni! Hata hivyo jamani hili swala hatutakiwi kulijadili maana linaingilia mwenendo wa kesi iliyopo mahakamani
  4. I

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Hii kiboko. Ninachoona mimi hapa ni kuwa watanzania wameridhika na hali iliyopo na ndiyo maana serekali inawafanyia inavyotaka. kulala chini ndo kawaida na inachukuliwa kama standard service kwa mtanzania. Masikini sijui hata mtoa huduma atampaje huduma zaidi ya kumruka tu??? Kuna haja ya hizi...
  5. I

    Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

    Jamani huyu mama hajakubaliana na hoja kwa sababu swala la kuzama meli lipo mahakamani (MV Spice) kwa hiyo kuahirisha mjadala ni kuingilia mwenendo wa kesi iliyo mahakamani.
  6. I

    Katika muungano yawezekana?

    Wana jamvi ninavyojua mimi Wizara ya Afya sio ya muungano. Walioteuliwa katika wizara hii(Waziri na Naibu wake) ni wabunge kutoka upande wa pili wa muungano(Zanzibar). Je hili linawezekana ? Naomba kujuzwa wanajamvi. I am standing to be corrected.
  7. I

    Waziri Mkuu kukutana na madaktari kesho

    PM kaenda karimjee,hakuna Drs waliokuwepo. Alichosema waliogoma warudi kazini na ambao hawataenda wamejifukuzisha kazi. Pili hakuna ruhusa kufanya mikutano tena kwa wahudumu wa afya. hajajibu hoja hata moja ya alizopewa. kazi ipo sasa. taarifa kamili kwa vyombo vya habari jioni
  8. I

    Madaktari - tutakutana na waziri mkuu jumatatu

    Pasco pitia taarifa yako uisome mara 10; Kitanda usicholalia huwezi kujua kunguni wake. Mazungumzo yalishafanyika sana lakini DHARAU ya viongozi wa nchi hii ndo imepelekea haya kutokea. Wangekuwa na busara mambo yasingekuwa hivi. Yameanzia Intern mapaka nchi nzima.Maneno ya dharau ndo...
  9. I

    propaganda ya serikali yashitukiwa na madaktari

    Makubwa hayo! Mgomo umechochewa na wanasiasa! Kawaida kunya anye kuku akinya bata kaharisha
  10. I

    propaganda ya serikali yashitukiwa na madaktari

    Jamani ni nani mwenye updates za mkutano wa PM? maana kama alipewa barua ya kuwa mkutano hautokuwepo atakuwa ameenda? Kweli kuna uwezekano wa kuwa na kundi la Drs feki
  11. I

    Mwenyekiti wa kamati ya madaktari atishiwa usalama wake

    Kutishiwa ni kawaida jamani. Ukiona matishio yanakuja ujue ndo mwanzo wa ushindi. Swala la mgomo wa ma dr linatisha lkn naona serekali inaona mzaha. Nashindwa kuelewa maamuzi ya posho za wabunge yalikuwa ni chap chap lkn madai ya msingi ya ma dr yanahitaji muda kujadili
Back
Top Bottom