Waziri Mkuu kukutana na madaktari kesho

Waziri Mkuu kukutana na madaktari kesho

mmbangifingi, ni kweli. Niliwahi jifunza kutumia "will power" kuzuia magonjwa na kuponyesha yaliyopo. Sasa tangu nimerudi nchini, elimu hii haina ajira. Hivyo kama madaktari wote watafutwa kazi, nitajenga hoja kwa Blandina Nyoni ili niajiriwe kuwaelimisha Watanzania jinsi ya kumtumia daktari bingwa mkuu kuliko mabingwa wote, ambae yumo ndani ya kila mtu. Hivyo kelele zangu zote humu, ni njaa tuu ndio inayonisumbua!.

Nenda kaendelee na kampeni za Lowasa ndio kazi inayokufaa, pia anazo bahasha za kutosha kwa ajili ya watu kama nyie..
 
I am shocked really

Ntamuweka kwa akina Makwaiya wa KUhenga sasa....

Kaka,

Mtu akianza kuweka pass zake (tena za O-level) kwenye public forum....

Akafuatisha na colleges za kuunga unga

Mwisho akamalizia na CV ya aina muziki wa dance bongo wa kupaishana sijui kurushana kwa malipo...

Basi anaondoka kwenye list yangu....may be forever!!

DC
 
mmbangifingi, ni kweli. Niliwahi jifunza kutumia "will power" kuzuia magonjwa na kuponyesha yaliyopo. Sasa tangu nimerudi nchini, elimu hii haina ajira. Hivyo kama madaktari wote watafutwa kazi, nitajenga hoja kwa Blandina Nyoni ili niajiriwe kuwaelimisha Watanzania jinsi ya kumtumia daktari bingwa mkuu kuliko mabingwa wote, ambae yumo ndani ya kila mtu. Hivyo kelele zangu zote humu, ni njaa tuu ndio inayonisumbua!.
Suicidal... suicidal... suicidal

Trying to be satirical, after all the damage you have done to yourself, ni sawa na mtu aliyefumaniwa halafu akatabasamu kama vile hakuna kitu!!!

JUST cup the crap.... umejitia aibu
 
Kaka,

Mtu akianza kuweka pass zake (tena za O-level) kwenye public forum....

Akafuatisha na colleges za kuunga unga

Mwisho akamalizia na CV ya aina muziki wa dance bongo wa kupaishana sijui kurushana kwa malipo...

Basi anaondoka kwenye list yangu....may be forever!!

DC

Aisee.............
 
Ni kweli nimesikia sasa hivi kwa tbc taifa radio kuwa Pinda katoa tamko kuwa madaktari warudi kazini kesho na kwa atakaekosa atakuwa amejifukuzisha kazi eti........
My take to all doctors.....
Sasa ndio mnatakiwa kuwa pamoja kuliko siku zote.....kesho kutaneni kama mlivyopanga na mfanye kikao cha mkakati kwa pamoja.Kuweni makini sana,wakirudi watu kazini na wengine wakabaki mgomo utakosa maana.Chondechonde asirudi daktari job mpaka mtakapopewa majibu ya matakwa yenu......huyu pinda anakimbilia dodoma bungeni anaacha matatizo nyuma huko dodoma anaenda kumfanyia nani kazi??????ebu ona hawa vingozi tulionao eh!!

Nawashauri madaktari sasa msubirini woote JK arudi ndio muongee nae...msiongee na mjinga yoyote sasa subirini jk arudi ndio muongee nae...hawa kina Pinda waganga njaa tu hamna kitu ndio sababu hamna chochote kinafanyika serikalini chini yake......a very retarded PM we have in tz.......
 
Mpaka PM atakapo zungumza nao itakuwa ni saa 36 ndani ya uvumilivu wa serikali kwa mgomo wao!. Mwisho wa uvumilivu ni saa 48!. Wanajf tuungane kuwabembeleza madaktari wamsikilize Waziri Mkuu na akiwaangukia wamkubalie warudi kazini!. Jumatatu patakuwa hapatoshi!.

Hakuna sababu ya msingi ya kuwabembeleza madaktari warudi kazini kabla ya madai yao kushuhulikiwa; kama baada ya hizo saa 48 patakuwa hapatoshi basi na pachimbike kwani madaktari sio sawa na wapiga debe wa daladala, kama serikali itaamuwa kuwafukuza basi wanavyeti vyao na nchi chungu nzima Afrika including Rwanda wanakaribisha wataalam bila kuomba visa na nyie mtakaa na ukilaza wenu kutembeza bakuli!! Pinda akitoa amri ya kuwafukuza chonde chonde msitetereke na kugawanyika kwani mkisimama pamoja yeye moto utamuwakia huko anakokimbilia Dodoma na itabidi arudi awatafute ; lakini wakifanikiwa kuwagawa basi demands zenu hakuna hata moja itakayotekelezwa!! UNITED YOU WILL STAND AND DIVIDED YOU WILL FALL!!
 
PM kaenda karimjee,hakuna Drs waliokuwepo.
Alichosema waliogoma warudi kazini na ambao hawataenda wamejifukuzisha kazi.
Pili hakuna ruhusa kufanya mikutano tena kwa wahudumu wa afya.
hajajibu hoja hata moja ya alizopewa.

kazi ipo sasa.

taarifa kamili kwa vyombo vya habari jioni
 
DC imekuchukua muda mrefu kujua Pasco ni mtu wa aina gani ! He's in a group of people whose brain are located in inguinal part! It's pathetic to have this kind of people in our civilised society
 
inaonekana hutaki muafaka na unaomba waziri mkuu asifanikiwe mgomo uendelee,kuna watu na viatu duniani

Kuna wakati inabidi liwalo na liwe. Inashikitisha sana kuona watu wametumia nguvu nyingi sana kusoma na kupata ujuzi wa kuwahudumia watanzania lakini ujira wao ni kiduchu ikilinganishwa na mwanasiasi ambeye ameingia kwenye ofisi yake kwa mlungula. Kama kweli tunafikiri vizuri tunatakiwa kujiuliza ni kwanini tunafuata system ya ovyo . Yaani system inayo m-reward vizuri "mwizi (mwanasiasa fisadi aliyeingia madarakani kiujanja) anayeendelea kuiba na kuneemeka kwa jasho la wengine" na "daktari, mwalimu, mhandisi, profesa (asiye mwizi na aliyepata elimu kwa jasho lake ili aweze kujipatia ujira kwa kuwasadia watanzania wenzake) anayeendelea kuumia kwa kupewa ujira mdogo"

Jaribu kujiweka kwenye kundi la daktari uliyesoma kwa miaka 7 katika mazingira magumu na katika nchi tatu, halafu mshahara wako ni dola elfu 700, halafu kuna mbunge ambaye hata shule alikimbia hakufika hata elimu ya juu,hata kama alifika elimu ya juu aliburuzwa buruzwa tu na kuhitumu, halafu yeye anapata ujira wa dola 10,000. Kweli wewe utakuwa ni mtu mwenye akili, utakaa kimya tu?

Ni busara kuwasaidia wagonjwa, lakini kuna wakati hakuna maana hata kidogo kuwa na upendo wa mshumaa, unatoa mwanga kwa wengine wakati wewe unateketea. In a way naona madaktari makes a lot of sense.
 
DC imekuchukua muda mrefu kujua Pasco ni mtu wa aina gani ! He's in a group of people whose brain are located in inguinal part! It's pathetic to have this kind of people in our civilised society

Yaaani nimeghafilika sana kaka,

Unajua huwa najaribu kusoma hoja za watu bila hata kuangalia ID zao, signature au status zao.

Itabidi sasa nianze kuwa makini kidogo...My innocence has been abused......!!

Watu wana As za A-level (za enzi za 1970s and 1980s) tena kwa masomo ambayo yanaogopwa duniani lakini hawathubutu hata siku moja kuyasema mbele ya watu. Leo mtu anakuja kutubandikia C ya Kemia ya O-level (na kama ni siku za karibuni basi hii ni sawa na C ya sayansi ya Primary kwa watoto wanaosoma shule za maana)!!

Ndo maana sijaamini kusikia kuwa dokta ni sawa na mpiga debe au tingo wa magari ya Bakhresa au akina Dewji na Mohammed Enterprises!!

Ngoja nianze kujitafutia kazi kwa Kagame!!
 
Inasikitisha sana kuona waziri mkuu anatoa kauli kama hiyo. najua kabisa kuwa hilo haliwezekani anajidhalilisha mwenyewe. Akiwa ni mtu mwenye akili timamu na kuonekana ni kiongozi mwenye upeo wa kutosha, anatakiwa kuonesha kuwa smarter than that. Watu hawafukuzwi kazi kwa style hiyo, hasa kama yeye ni mtu mwenye elimu anajua kuna utaratibu wa kuwafukuza watu kazi. Besides alitakiwa kuwasikiliza na kuona kama kuna mazingira wanayoweza kufikia common ground.

I pray that siku moja wanajeshi wanafanya the same halafu tusikie kama atasema wamejifukuzisha kazi.
 
Yaani Pasco hata kujishtukia huwezi? Ni bora tu ukae kimya kuliko kuendelea kuandika na kujianika jinsi ulivyo! So much for that law degree of yours!
 
Kaka,

Mtu akianza kuweka pass zake (tena za O-level) kwenye public forum....

Akafuatisha na colleges za kuunga unga

Mwisho akamalizia na CV ya aina muziki wa dance bongo wa kupaishana sijui kurushana kwa malipo...

Basi anaondoka kwenye list yangu....may be forever!!

DC

Kabisa kabisa kaka. I'll take common sense over As and Bs on any given day.

Halafu ni childish mtu kuja na kuanza kusema sema humu eti alipata sijui B kwenye somo fulani...sijui festi klasi ya sheria UDSM....who cares? Kwanza hatuwezi hata kulithibitisha hilo....anaweza kabisa akawa anatudanganya. But regardless, who the hell cares what grades you got in school?

Some people man.....
 
.....and now PM amewaamuru madaktari, aliopanga kukutana nao leo na hawakutokea kwamba kesho kazini
 
Wanajanvi siku ya siku mtakujakukumbuka haya nitakayoyaandika; kama kweli Mizengo Pinda katamka hayo yaliyoaandikwa kuwa madaktari ambao hawahudhuria kazi kesho watakuwa wamejifukuzisha wenyewe, hapo sasa ndio mtamuona mkweree at his best kwani akirudi tu atataka kuonesha kwamba yeye ndio anaewajali wananchi na atahakikisha anamuabisha kwa mara nyingine tena Pinda kwa revocation ya order yake ya kuwafukuza kazi hao madaktari ambao hawatareport kesho!! Mkweree scenarios kama hizo ndio anazipenda kwani zinamtoa yeye kama ndio star!!
 
Back
Top Bottom