propaganda ya serikali yashitukiwa na madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

propaganda ya serikali yashitukiwa na madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jan 29, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wakuu inaelekea pinda anaandaliwa kundi la wale madaktari wastaafu ili aonekane amekutana na madaktari.kweli serikali haijawa na nia ya dhati ya kusolve swala hili.soma ujumbe wa kiongozi wa MAT

   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,178
  Trophy Points: 280
  Wakifanya hivo mbona tatizo litabaki palepale, wazee wameshindwa kufunika pengo lililopo maana wao hadi sasa hawajagoma!
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mimi hapo naona kama Madaktari hawa wanatumiwa na wanasiasa. Iweje waseme Waziri mkuu hana majibu ya haraka hivyo. kwani wao walichokitaka ni majibu ya kero zao au nini? Na iweje wajue kuwa kuna watu wameandaliwa ambao siyo wenzao? Waziri mkuu anajua umuhimu wa kushughulikia tatizo hlo haraka. Mbona vikao vingine vyote vilikuwa vikifanyika bila ya wenzao wa mikoani?. Hii haiingii akilini, lazima kuna nguvu toka nje inayowafanya Madaktari wasione umuhimu wa kukutana na serikali haraka, na kwa maana hiyo hawaoni hata uchungu wowote hata wagonjwa wakifa , akili za aina hii mara nyingi zinakuwa katika mioyo ya wanasiasa na siyo wataalamu. Mungu atawahukumu tu hata suluhu itakapopatikana, wasije wakaanza kutafuta wachawi, malipo ya Mungu ni hapa hapa duniani, watajifanya hawasukumwi na wanasiasa lakini mungu anajua na hakika watapata mapigo tu, vipaji vya kutibu wamepewa na mungu siyo wanansiasa.
   
 4. i

  inocent Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ni nani mwenye updates za mkutano wa PM?
  maana kama alipewa barua ya kuwa mkutano hautokuwepo atakuwa ameenda?
  Kweli kuna uwezekano wa kuwa na kundi la Drs feki
   
 5. i

  inocent Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makubwa hayo!
  Mgomo umechochewa na wanasiasa!
  Kawaida kunya anye kuku akinya bata kaharisha
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni kwa kuogopa nini mpaka wafanye hivyo? Siku zote tuache mambo yatendeke kama yalivyopangwa. Upotoshaji wa namna hii ni wa kijinga na hautuletei maendeleo yoyote wana JF na wananchi kwa ujumla. Toa source ya hii.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hili suala wakulaumiwa zaidi ni nani? Maana kama wao wabunge ugumu wa maisha umewafikia na wanaishi Tz hii iweje madaktar nao ugumu wa maisha usiwafikie?
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani hii inabadilisha nini? Kama lipo litaonekana kama halipo basi halitaonekana. Mambo ya source kila kitu siyo sahihi kwani hapa tunaandika magazeti? Au tunasona taarifa ya habari?

  Si vyema kupuuzia habari hatakama haina source maana primary source ya habari yoyote ni mtu. Source unayotaka wewe ni secondary source ambayo ni mpaka mtu huyu aipeleke kwenye gazeti ?

  Hebu jaribu kufikiri usichkuliwe na mafuriko tu ya source please bila kukumbuka primary source ya habari ni mtu. Labda uliza secondary source Ya habari hii ni nini mpaka usikie toka TBC au usome ndani ya UHURU ndo uamini?
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hiyo bold inaonyesha hufatilii hili suala vizuri.kiukweli madaktari walikuwa wa kwanza kwenda kwa ofisi ya waziri mkuu lakini yeye alienda arusha kwenye mahafali ya technical college.juzi alipewa fursa nyingine ya kukutana nao lakini akatuma ujumbe uliojumuisha watu waliosababisha na kushindwa kuutatua mgogoro.sasa kwa kuwa suala hili halikuwa priority basi ni vema tusubiri kwani subira yavuta heri.
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Na akionekana mtu yoyote asiyeupande wenu madaktari mchapeni viboko mbele ya PM..hata kama ni kikongwe cha miaka 95..tumechoka kuwa na wasomi wasiotaka mabadiliko ya dhati kwa nchi hii.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sitoi!!
   
 12. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Ndg sio lazima kuchangia kila mada kama huna utash wakutosha katika mada husika.
  Pia unaonekana kama we ndn uliyetumwa na hao magamba, binafsi mchango wako umenikera kiasi kwamba ningekuwa nakuona ana kwa ana ningekueleza kwa undani we nimjinga na mpumbavu kiasi gani. Any way ULAANIWE. RIP
   
 13. s

  step Senior Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ndugu yangu wewe ndo huna huruma na watanzania, inauma sana miaka 50 baada ya uhuru wagonjwa wanalala chini katika hospitali zetu na pia madaktari wanainama inama kuwapima. Jaribu wewe kuinama inama uone adha hiyo kama utafanya kazi kwa ufanisi. Halafu wakubwa wanawekeza katika hospitali ya APOLLO India nyinyi wananchi hamchukui hatua yoyote (this is crazy). Propoganda za serikali na siasa katika taaluma sasa mwisho, TUWAUNGE MKONO MADAKTARI ILI KULETA MAPINDUZI YA KWELI. TUKATAE KUWEKEWA VIONGOZI WASHIKAJI SHIKAJI KILA SEKTA ILI MRADI TU ANAUHUSIANO NA BWANA MKUBWA. kumbuka maneno ya Jenerali Ulimwengu aliyoyatoa katika kongamano la kwanza kujadili namna ya kupata katiba mpya chuo kikuu DAR alisema hivi nanukuu : Hivi sasa tunashuhudia viongozi wanawaweka hata wachumba zao madarakani: sasa tafakari!!!
   
 14. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ni kweli baada ya wazee kuelimishwa,wameamua kuacha usaliti na kesho watakua upande wetu.
   
 15. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni na wasiwasi na wewe ! hivi wewe sio blandina nyomi kweli!
   
 16. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hata mimi nahisi
   
Loading...