Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

Mi alivyokataa kuahirisha niliamua kuangalia mpira wa simba.bungeni kama chadema hawapo hilo sio bunge, Makinda kweli umetuangusha
 
ivi ile ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio lakuzama ile mv spice ilishatokaga?.. Kesho bungen utackia jambo hilo haliwez kuongelewa bungen mana lipo mahakaman, watanzania tunazidi kuangamia kwakukosa maarifa
 
Jamani huyu mama hajakubaliana na hoja kwa sababu swala la kuzama meli lipo mahakamani (MV Spice) kwa hiyo kuahirisha mjadala ni kuingilia mwenendo wa kesi iliyo mahakamani.
 
Ni masikitiko makubwa yalioje kwamba Taifa la Tanzania sasa ni rasmi tumepoteza chombo Muhimu sana kwa jina la Bunge. Hiki ndicho pekee chombo tulichobaki nayo mara baada ya kupodeza DOLA zima pamoja na MAHAKA.

WaTanzania twende wapi sasa?????????????
 
SPIKA wa BUNGE leo tar 18/07/2012 amebainisha kwamba HAFAI kuwa SPIKA kabisa kwani amekataa USHAURI uliotolewa na MBUNGE wa wawi HAMADI RASHID WA KUAIRISHA bunge kutokana na kuzama kwa MELI huko ZANZIBAR.Spika ajajifanya anajali MUDA tena akadai hicho kifungu kinatumiwa vibaya labda hiyo AJALI ingekuwa imetokea karibu kama hapo Dodoma.Wabunge wa UPINZANI WAKAAMUA kutoka nje ndipo baada ya dakika 20 waziri wa mambo ya ndani akaona aibu naye akaamua kuomba HOJA yake iondolewe ndo kikao kikaahirishwa.SPIKA ni mjeuri mpaka kwenye mambo yasiyohitaji ujuaji au ni kwa sababu waliokufa ni WALALAHOI na si VIGOGGO wenzake.
 
Bunge ni mhimili unaojitegemea, sasa kwa nini Spika akatae hoja iliyotolewa na mbunge (Hamad Rashid) lakini akubali kufanya kitu hicho hicho baada ya serikali kusema? Anne Makinda hana uwezo wa kufanya 'judgement' mpaka aambiwe? Na wananchi waamini Bunge chini ya Makinda bado ni mhimili unajitegemea na sio idara ya serikali?
 
Ni hatar sana huko tunakoelekea, wanaJF tafuten kanun za bunge tuone, huenda kikanun yupo sahih, ingawa kwa haraka haraka inaonekana kabisa AMECHEMKA. Huenda jambo hili la kuzama kwa Meli lipo MAHAKAMANI.!???
 
Suala la kuwapa wanawake nafas kubwa za kiutawala liangaliwe,,,,,,,,,,,sina ubaguzi ila case study kwa mama zetu ambao wamepewa madaraka.....
1.blandina nyoni na kashfa za wizara ya afya
2.sofia simba-msiwape uroda wanaume zenu
3.Dr asha-rose-na mjadala juu ya udhaifu wake UN
4.MAMA zakia na kudanganywa epa
5.mwantum mahiza-kauli za kuudhi kwa walimu
6.Anne makinda-ndo usiseme
japo kuna wanaume ila wanawake.....mmmmh
mnamkumbuka sita sasa,,,,,,aliwah kumpa dongo huyu mama,though aliomba msamaha ila meseji sent
 
Ni hatar sana huko tunakoelekea, wanaJF tafuten kanun za bunge tuone, huenda kikanun yupo sahih, ingawa kwa haraka haraka inaonekana kabisa AMECHEMKA. Huenda jambo hili la kuzama kwa Meli lipo MAHAKAMANI.!???

duuu haya bwana mahakama ina kazi kubwa sana mwaka huu1
 
hiv ana umri gani huyu mama? Au anasumbuliwa na menopause...... najaribu kuona sababu za kutindikiwa busara kiasi hicho siipati.....
 
Haya mambo ndiyo yanashusha sana credibility ya ccm. Spika anatakiwa asome alama za nyakati kwani inapofikia mahali unakuwa mgumuna watu kuchukua maamuzi yao wanayoona yanafaa, basi huwezi kuheshimika kabisa
 
Back
Top Bottom