Recent content by INNOMATIX

  1. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Tunakufanyia research kwa bei nzuri

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza...tunafanyia watu research kwa wale wasiokuwa na muda wa kufanya wenyewe...bei maelewano...tutafute kwa namba 0758170682. ..tuma message ukijitambulisha...tutakupigia
  2. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Pata Simu kali kwa bei nzuriii. ( best smartphones @ affordable price)

    Tecno c9 ngap?
  3. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bei ya mchele kwa Dar na Dodoma

    Dar 1700 hadi 2000...hii ni kwa gunia la kilo mia yani jumla
  4. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania [Msaada] Namna ya ku-install windows kwa kutumia flash

    Badilisha hilo file lako kuwa boot file...kuna thread kibao google utaona jinsi ya kubadilisha then saving location iwe hyo flash....hakikisha umetoa vitu vyako vya muhimu katika flash kwani inapojisave kwenye flash hufuta kila kitu na kuacha hyo boot file....all the best
  5. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Nauza Boom j8

    Weka bei hadharani
  6. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni fursa katika mbio za baiskeli?

    Habari wana jamvi, natumai ni wazima kadri ya Mungu alivyowajalia. Tanzania ni nchi yetu, twaipenda.Usipoipenda utapenda nchi gani tena. Leo nakuja na hii mada ambayo sio ngeni ila ni mada ambayo imewekwa kapuni kwa muda mwingi na kuweka mkazo katika michezo mingine, serikali ikitumia pesa...
  7. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

    Kwani diamond dili za voda pia si kutokana na kazi yake...unamix mafile sasa
  8. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

    Gazeti gani? Usituletee gazeti la udaku lakini koz wao wapo kumake up stories wauze
  9. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Vijana tuungane tujiajiri

    Kijana uko mwanza sehemu gani?
  10. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Poleni, Coca-Cola Kwanza

    Mengi ni bonite iliyopo moshi
  11. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Walimu kusafiri bure sawa,vipi kuhusu mishahara

    Mkuu wa milaya ya kinondoni,dc makonda amekuja na wazo zuri kuhusu walimu wa mkoa wa dar es salaam kusafiri bure.Hili ni wazo zuri na la kuwa mfano wa kuigwa na wakuu wa wilaya hata wabunge wa sehemu mbali mbali Tanzania licha ya chama cha walimu kuleta changamoto.......ila swali langu...
  12. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Dstv kwa bei poa

    Upo mkoa gani
  13. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Kuna nokia lumia 710 inataka 100k tu....ipo katika hali nzur
  14. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Lumia 710 for sale

    Nokia lumia 710 windows phone....kama upo mwanza na unahitaji nichek...bei laki mbili.ipo katika hali nzuri sana sababu haikuwa inatumika kwa muda mrefu......betri yake ilipotea nimeshindwa kupata betri sahihi hivyo mfuniko haufungi nimeutoa ila upo 0718208045...Whatsaap only
  15. INNOMATIX

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nokia lumia 710 windows phone....kama upo mwanza na unahitaji nichek...bei maelewano..ipo katika hali nzuri sana sababu haikuwa inatumika kwa muda mrefu......betri yake ilipotea nimeshindwa kupata betri sahihi hivyo mfuniko haufungi nimeutoa ila upo
Back
Top Bottom