Vijana tuungane tujiajiri

Vijana tuungane tujiajiri

Naam!

Haijarishi uko mkoa gani ,enyi vijana wenzangu ambao tuko mtaani ninaomba tujitokeze walau 10-20 tuunde group tujiajiri wenyewe na biashara ya nafaka ,ngombe ,viaz vya chps etc

Kama utakuwa interested na hii thread ni PM tujue jinsi ya kufanya majadiliano namna ya kujiajiri ,mtaji sio kikwazo, cha msingi ni uelewa na ujuzi wa biashara ambayo tutaifanya mkoa kwa mkoa..eg Mza to Dsm.
Wazo jema huwezi fanya kitu bila kuwa na kitu kwanza una elimu,una nguvu ila huna nyenzo inaweza kuwa pesa au vifaa. Kwa wanaounga mkono hoja wakubali kuchangia pesa kidogo mfungue akaunti halafu muweke malengo kila mwisho wa mwezi kila mdau achangie alichonacho na atunze risiti yake ya malipo. Pia pangeni kila baada ya mda fulani muitishe kikao kujua kama mmepata kiasi gani, ila inatakiwa muwemnaishi mkoa mmoja ili kuokoa gharama daada ya hapo chagueni mradi wa kufanya kwa umojawenu na uaminifu wa thati......
 
Me nipo Korogwe TANGA kwa sasa nafanya kilimo cha mahindi... Badae ntafanya cha umwagiliaji. Mwenye kutaka kushare ideas nk. 0763 338 830. Karibu
 
Back
Top Bottom