Recent content by Indungu

  1. Indungu

    Afisa wa TRA Mwanza Bi. Mary Moyo akamatwa na TAKUKURU kwa kuomba na kupokea rushwa ya Tsh.milioni 8

    Kuna jamaa anajiita Rama Mwanza, kazi yake ni kutafuta namba za watu na kuwapigia SIM, anajifanya ni mkaguzi kutoka tra ,anatumia namba 0685 268 634 anasumbua sana watu
  2. Indungu

    Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    NMB prepaid is the best ,hakuna masharti wala longo longo ,ni wewe na kibunda chako tu
  3. Indungu

    Business Maturity & Strength need to Grow

    Sisi wamatumbi hii haituhusu, naona wameandikiwa wazungu wa huko ulaya
  4. Indungu

    Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

    Mkuu Tanzania ni muungano wa nchi mbili hakuna tatizo hapo, kama huo mkutano ungekuwa unahusu Tanganyika ingekuwa ni tatizo
  5. Indungu

    DPP Biswalo Mganga umewatesa watu wengi kwa kiburi cha madaraka!

    Sema hawezi fanya haraka haraka,hao atawafuta mdogo mdogo lazima waondoke, ila akina sabaya waondoke mapema na wafikishwe mahakamani maana ushahidi upo
  6. Indungu

    Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    kiufupi ccm haifai ,imejaa majizi tu
  7. Indungu

    Wanamchafua Mwendazake wakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wao watabaki salama

    SAMIA SULUHU HASSAN, rais wetu wa sasa, alikuwa msaidizi namba moja wa Mwendazake, kama mahakamani ni mtuhumiwa namba 2 kwenye kesi, anawajibika kwa haya yaliyotokea. Kutudanganya kuwa hakuwa na uwezo wa kuzuia yasitokee ni uzandiki.... Kama alijaribu kuzuia na akashindwa kuchukua hatua gani ...
  8. Indungu

    Vijana acheni kuoa watu wenye jinsia ya kike, oeni wanawake

    Umeshasema mwanamke na sio mtu mwenye jinsia ya kike
  9. Indungu

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Noah 1AZ

    Mi nadhani ubora wa engine ni matunzo tu, kama kuifanyia service kwa wakati,kutumia oil iliyoidhinishwa na mtengenezaji, kuepuka mafundi makanjanja walio kalili
  10. Indungu

    M/kiti wa UVCCM mkoa wa Dodoma amfungia Ofisi Katibu wa UVCCM mkoa

    mi ningefurahi kama wangetwangana mabanzi
  11. Indungu

    Kero ya maji Mwanza imekuwa kawaida sasa

    Na wanatutesa kweli kweli na mazoea yao hayo
  12. Indungu

    Kero ya maji Mwanza imekuwa kawaida sasa

    Mkuu kwani huko dar maji yanapatikana kirahisi japo mko karibu na bahari? Maji nchi hii ni kizungumkuti japo tuna maziwa bahari lakini hatujawahi kupata huduma hats kwa %30
Back
Top Bottom