Vijana acheni kuoa watu wenye jinsia ya kike, oeni wanawake

Hizo lugha chafu huwa zinanichefua kwakweli, alaf wao wanaona ujanja kweli
Kuna mmoja nilikuwa naye majuzi akaropoka "hawa voda siku hizi wamekuwa wase.nge"..kisa tu vi-mb vyake vimeisha fasta, nikawaza huyu si kuna siku na mimi ataniporokoshea hizo lugha chafu.
Kuna siku atakwambia " Ushaanza kuwa Ms*nge kama Voda sasa nawewe"
 
Uwanja wa vita ukichachamaa mambo yanakuwa moto..risasi na mabomu..

KIKI..KIKIKIKIKI...KIKIKIKIII...(risasi)
PUUUUUAAAAAA (bom)

"Go..go..go..goooo"
"YOOUUU..CCOOVVEERR MEEE..OKKKEEE??
"I Can't hear you ssirr"
"F*ck youuu.. CCOOVVEERR MEEE"
"WHHHHAAATTT???"

KIKIKIIIIIII..KKIIIIKIIKIII...PPUUUUAAA
🔥 In the hole
 
Inawezekana sijakuelewa mwandishi. Una maana wanaume waoe wanaume wenzao???
Read between the lines utamuelewa,ipo hivi!!!

Bar maid/danga singo mama included ana jinsia ya kike kama walivyo wengine ila hana sifa za kuitwa mke/kuwa mama wa familia/kuaminiwa kulea watoto ktk maadili yanayotakiwa pia wanakuwa wamepita chocho nyingi kiasi haambiliki hashikiki kila anachoambiwa siyo kigeni tena kwake,humu JF wamejaa dizain hii.

Wanawake/mwanamke ni wale wanajua ninini maana ya mume na ndoa kwa ujumla pamoja maana ya familia.mume akiuliza kitu hata kama kitamkwaza atajibu kwa utulivu na hekima,wanao nyumbani maadili yao yatasimamiwa vyema siyo mwanamke anaenda dukani anarudi na chupa ya beer mkononi anagida mbele ya watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi huendeshwa na tamaa na kufata mkumbowatu wenye jinsia za kike ni pasua kichwa:
......... wakioa watu wenye jinsia za kike na si wanawake

Hizo sentesi hapo juu ndio zimepelekea mimi kuwa na mawazo hayo na nikaamua kuhoji
Uelewa
 
Read between the lines utamuelewa,ipo hivi!!!

Bar maid/danga singo mama included ana jinsia ya kike kama walivyo wengine ila hana sifa za kuitwa mke/kuwa mama wa familia/kuaminiwa kulea watoto ktk maadili yanayotakiwa pia wanakuwa wamepita chocho nyingi kiasi haambiliki hashikiki kila anachoambiwa siyo kigeni tena kwake,humu JF wamejaa dizain hii.

Wanawake/mwanamke ni wale wanajua ninini maana ya mume na ndoa kwa ujumla pamoja maana ya familia.mume akiuliza kitu hata kama kitamkwaza atajibu kwa utulivu na hekima,wanao nyumbani maadili yao yatasimamiwa vyema siyo mwanamke anaenda dukani anarudi na chupa ya beer mkononi anagida mbele ya watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ubarikiwe sana kwa kumuelewesha
 
Hallelujah
1584108757318.jpg
 
Back
Top Bottom