mzenjiboy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 907
- 383
Nawashangaa WATANGANYIKA kwa kuhoji uteuzi wa Mama Rais kumchagua Rais wa Zanzibar, Dr. Mwinyi kumuwakilisha katika mkutano wa SADC huko Msumbiji.
Pia WATANGANYIKA hao wanaendelea kuhoji kwa kusema Rais ana Makamo wa Rais ambaye angeweza kumuwakilisha au hata Waziri Mkuu lakini kwa nini nafasi hiyo apewe Rais wa Zanzibar ? Hapo jibu analo mwenyewe Mama Rais.
Jee, bado WATANGANYIKA wanaiangalia Zanzibar kwa jicho la dharau. ? Napenda kusema wakati umebadilika na tutegemee mengi mema kutoka kwa Mama Rais.