Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Noah 1AZ

Thomas06

New Member
May 4, 2020
4
0
Wana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.

1588673700830.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani ubora wa engine ni matunzo tu, kama kuifanyia service kwa wakati,kutumia oil iliyoidhinishwa na mtengenezaji, kuepuka mafundi makanjanja walio kalili
 
1AZ FSE ni engine nzuri ikiwa utakuwa makini kiutunzaji,Nina experience na hizi engine,zimekuwa zikisumbuliwa na mfumo wa mafuta mara nyingi zikizingua,hivyo basi hakikisha unaweka petrol safi,pili zina overheat Ila ni uzembe wa wamiliki.
Wana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.

View attachment 1440391

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.

View attachment 1440391

Sent using Jamii Forums mobile app

Ufafanuzi ni kuwa hii gari ni multipurpose....inaweza kuwa dalala, inaweza kuwa kwa ajili ya kuteka watu ikiwa full tinted, inaweza kuigeuza kuwa Gesti kama ni mzee wa Totoz, inaweza kuwa family car....Soo its upto you mkuu.
 
Hii engine ni nzuri kwa maana ya efficiency ila zingatia kuweka mafuta safi hasa vituo kama total, puma, engen au tumia additives za kusafisha mafuta kama huweki mafuta vituo hivyo. Pia wakati wa service uwe unatumia oil nzuri (hasa full synthetic) na oil filters nzuri. Tofauti na hapo utakuja kusema hizi engine ni mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.

View attachment 1440391

Sent using Jamii Forums mobile app
1AZ-FSE ambayo ni D4-VVTI hii engine naitumia kwenye
Rav 4 kill time ya 2003 4WD 2.0l (1998cc)
Ni engine nzuri sana tena inanipa km 9 town trips zile speed iko chini ya 50.
Na high way napata km 10 Adi km 11 per 1 litre average (speed hapo ni 90 adi 100 km/h
Changamoto
Ni kuwa makini na service ya gari
Kubadili oil na filters na mafuta angalia vituo vya kujaza mafuta hasa vituo vikubwa vinavyosifika kwa mafuta mazuri.
Na muda mwingine akileta dosari kidogo tumia mafundi wazuri wenye technologia ya kisasa
Ambao wanaweza ku detect matatizo kwa computer
Tofauti na hapo chukua hiyo gari maana engine hii iko poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom