Recent content by imooo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Russia-Vladmir Putin atangaza kugombea tena Urais

    Viva putin!
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kuwa Na wapare kama MANGE KIMAMBI na MSHANA JR ni kitu najivunia sana.

    Sawa mpare
  3. I

    JamiiForums Tanzania PSG mtimueni Unai Emery haraka sana

    Jamaa hisia zinamtawala Sana, kocha kufungwa game moja isiyo na madhara unafukuza, basi utafukuza wote.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TBA yamaliza utata juu ya "Expansion Joint", yatoa picha ya kuta zinazoonesha nyufa hazina madhara

    Tatizo lenu ushabiki usio na tija, Ufa wenye madhara hauzibikii endeleeni na upambe wenu.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

    Kweli!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wabongo kwanini tunapenda sana matofali?

    Sio kweli Kaka, walikuuzia vya saloon basi, hivyo vioo, kuanzia unene ni tofauti pia huwa vima proofing materials Kama za joto,sauti na wakati mwingine hadi bullet proof wanainstall humo.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wabongo kwanini tunapenda sana matofali?

    Wengine hupenda kuambiwa wanavyoamini wao, ukisema tofauti, utasikia sio kweli, unapozungumzia ukuta WA kioo huishiii kuongelea bei yake pekee bali kuna mambo ya energy consumption,na insulation japo Bei ya tofali yenyewe kwa sm ni kama Mara tatu ya bei ya kioo.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa

    Inategemeana na ubora wa nyumba yenyewe unayoiongelea kwa hyo usilaumu wanaokwambia gharama tofauti na hizo, nyumba moja lakini muonekano tofauti kulingana namna Mtu alivyowekeza pesa.
  9. I

    JamiiForums Tanzania UDSM acheni kujikweza, mtatambulika kwa kazi zenu

    Ila chuki hazijengi, udsm kazi zake zinajulikana Kila kona sijui wewe unataka ipi?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Degree ya sasa imechuja kulinganisha na miaka ya nyuma

    Nadhani wewe umeelewa Sana dhima ya huyo jamaa aliye post.
  11. I

    JamiiForums Tanzania RC Malima amtaka Mohamed enterprises kufungua kiwanda cha Mutex badala ya kukimbilia mambo makubwa!

    Kwako ndege ndo kitu cha maana sana mwenzako ana vipaumbele tofauti na wewe, ila naheshimu mawazo yako.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwenye ujenzi: Majibu ya nyufa hizi, yatolewe na The Professionals, AQRB, ERB, CRB, na sio mtuhumiwa TBA!

    Mbona kelele nyingi? Aliyeenda kasema aliyoyaona, wewe unabwatuka Kwa kutumia picha duuh kweli kichwa cha jogoo hakibebi mzigo.
Back
Top Bottom