Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan

Matengezo tu ambao sio ujenzi mpya ni 1.5 Bln, Ghorofa zile hostel Mpyaaaaaaaaa 10Bln? Haya Tutafanyaje sasa.
Ongezea 680 milioni hapo za kutenganisha ofisi. Halafu jiulize nini kazi ya makamu wa rais Tanganyika? Kiutendaji ni Rais na waziri mkuu. Makamu wa rais ni pambo tu lakini hana toja yoyote hata asipokuwepo
 
Ili nini mkuu? Mumchungulie mh? Expansion joints of course zina-vary depending on the type na usage of the structure; ha ha ha! Mmeelewa wananchi?
Ni expansion joints tu wewe usiwe na wasiwasi>
 
Nasikia kuna watumishi wiki 2 wapo dar na wiki 2 wapo Dom; sasa hizo gharama za paediem si ni hatari. Maana wanadai kazi zipo Dar. Dodoma ni story tu maofisini.

Falsafa ya kubana matumizi ipo hapo kweli
 
Waziri Mkuu na Makamu wa Rais alikuw ana makasri Oystetbay, Haile Selassie Road.

Akajengewa kasri jingine Oysterbay Beach kule Toure Drive,sijui sababu gani.

Makasri mengine Dodomakwa sababu ndiyo makaomakuu ya serikali yanajengwa tu.

Kama vile hatujali gharama zisizo na mwisho.
 
Nasikia kuna watumishi wiki 2 wapo dar na wiki 2 wapo Dom; sasa hizo gharama za paediem si ni hatari. Maana wanadai kazi zipo Dar. Dodoma ni story tu maofisini.

Falsafa ya kubana matumizi ipo hapo kweli
Tatizo linakuja watu wanapoweka mbele nadharia za kisiasa kuliko ukweli wa kiuchumi.
 
Kuna faida gani itakayopatikana kwa kuhamia Dodoma?

Faida ni nyingi sana mkuu,unajuwa majengo mengi ya Dar ikiwemo Ikulu tuliyarithi toka kwa wakoloni,wenzetu hawakuwa na teknolojia ya kuweka "expansion joint"kwenye majengo,acha wajenge mapya yatakayowezesha uwepo wa expansion joint.

Moja ya faida ya expansion joint kwenye majengo ni kuruhusu upigaji wa chabo!
 
Tatizo linakuja watu wanapoweka mbele nadharia za kisiasa kuliko ukweli wa kiuchumi.
Nasikia lile wazo la kuhamia dodoma lilikuja palepale akiwa kwenye ukumbi akikabidhiwa uenyekiti.
Hakuna kikao cha mabaraza ya mawaziri kilichokaa kushauriana.

Nafikiri atakuwa anajuta sana kwa maamuzi aliyofanya.
 
Huyu baba kujuta ni msamiati.

Kuna watu vichwa vyao pale mbele kuna mifereji fulani ya kujuta imekata.
 
Sidhani kama gharama kubwa ipo kwenye matofali zaidi itakuwa kwenye maeneo ya usalama, mawasiliano na comfort.
TBA wanahusika na ujenzi wa majengo tu, wala hawahusiki na ujenzi wa miundo mbinu ya mawasiliano, usalama na hizo 'comfort'.
 
Nyumba ya makamu wa raisi (marekebisho) ni 1.5bn ? Au sijaelewa.

..
TBA si ndio walijenga block za udsm kwa 500m per jengo??

Shubhaaaamit

sasa ukilinganisha gharama za makazi ya makamu wa raisi ( ikulu ndogo ) na hostel za wanafunzi unakosa busara.
 
Back
Top Bottom