mujunwa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 425
- 557
Mleta mada huo ujenzi ni delicate sana kwa waswahili tulio wengi.Nchi zetu hizi mambo hayo ni hatari sana.
Ukikosana na watu wasiopenda ukweli au ukatofautiana na watu unaunguzwa mzima mzima na hizo mbao halafu unamaliziwa na vipande vya vioo , unatangulia kwa muumba.
Pia ujenzi huo ni hatari kwa miti michache tuliyobaki nayo. Jaribu kuwaza pia ujenzi ukiwa huo mazingira yatakuwaje kwa maana ya kukatwa miti na kutupa vioo vilivyovunjika au vilivyoisha muda wake.