Ukiona hivyo mtu anahitaji kutoka huko alipo, ndio shida kubwa, kuwa too general na kuwa specific ni maamuzi ya mtu, mi nadhani kila mtu anakuwa na chaguo zaidi ya moja ya sehemu ya kuishi, ndivyo ilivyo kwa hiyo post, mi nadhani we sio mwalimu, so piga kimya, we are not here to judge, we are...