EWGM's
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,521
- 2,109
Habari.....mkuu,bsn planning lazima ikupe bsn plan?! Na sio kweli kabisa kuandaa bsn plan ni kupoteza muda! Ndio maana katika plan huwa tunafanya projections, naelewa sana time value of money principle! Kumbuka pia sifa ya objectives lazima ziwe SMART.Rejea na ukumbuke,kazi za cash flow, balance sheet pamoja na p/l a/c kisha uone kama kuna biashara ambayo haina hivyo vitu! Biashara malengo na yana time limit. Anyway ni maono yako na siwezi kuyapinga but NARUDIA TENA.....BSN PLAN NI MWONGOZO UNAOTOA NA KUELEKEZA MAUDHUI YA BIASHARA KWA MUDA FULANI.
Mkuu kutakuwa hakuna busara kama michango yetu itasababisha tutatoka nje ya mada kama uliyoianzisha kufuatana na kichwa cha habari chake.
Nafikiri pia ingekuwa busara sana uendelee kuwafundisha jinsi ya kuandika business kwa sababu kuna watu wako serious wanataka kujua kuandika business plan.
Pili ni busara kubwa sana kujua kwa undani zaidi unachotaka kufundisha au kuongea kuliko kufanya kazi za kubahatisha (guess work).
Tatu nafikiri ingekuwa busara sana kufundisha kwanza business plan kwa fuatia mpangilio wa: Nini ni business plan? Ni wakati gani niandike business plan? Ni nani anahitaji business plan? Kwanini aandike business plan?
Mwisho naomba utumie experts advice pamoja na solid classroom and practical experience kama umebarikiwa navyo na siyo kama unavyotaka wewe au moyo wako unavyokutuma.