Recent content by il principino

  1. il principino

    Nguli wa kuuza madawa ya kulevya akamatwa

    Mexico's most wanted man, drug kingpin Joaquin Guzman, known as El Chapo or "Shorty", has been captured in Mexico in what marks a major coup in a grisly fight against drug gangs. After 13 years on the run, Guzman was captured early on Saturday morning in a hotel in Mazatlan, a resort city...
  2. il principino

    Nguli wa kuuza madawa ya kulevya akamatwa

    Notorious Mexican drug lord arrested http://www.cnn.com/video/data/2.0/video/world/2014/02/22/nr-arrest-el-chapo-mexico-drug-lord.cnn.html
  3. il principino

    Nguli wa kuuza madawa ya kulevya akamatwa

    Joaquin 'el chapo' Guzman, kinara wa kuuza madawa ya kulevya duniani ambaye alikua anatafutwa kwa muda mrefu na Serikali ya Marekani, alikamatwa jana.
  4. il principino

    Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

    Kwani 9 Disemba huwa tunaadhimisha sikukuu ya uhuru wa nchi ipi, Tanzania au Tanganyika?
  5. il principino

    Whatsapp Is Not working

    Sio mtu wa kupenda kutembea
  6. il principino

    Whatsapp Is Not working

    BBM, Viber, WeChat, WhatsApp, Telegram, Badoo na Twitter zote nimo ila Viber ndio nilikua nimeizoea
  7. il principino

    Whatsapp Is Not working

    Telegram nayo inazingua
  8. il principino

    Mvua Kubwa Kunyesha

    Weather forecasting is the application of science and technology to predict the state of the atmosphere for a future time and a given location. Human beings have attempted to predict the weather informally for millennia, and formally since at least the nineteenth century.[25] Weather forecasts...
  9. il principino

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Aquelina weee Aquelina mpenzi nakupenda Aquelinaa weee tulimalize tatizo Aquelinaaaa njooo njooo tulimalizee tatizo...
  10. il principino

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Kuna mmoja alikua anajiita 'Jemedari Mkuu aliyevuka maji ya shingo bila mgongoni kuloa'
  11. il principino

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Mambo ya pwani eee yananichanganya Vitu fulani eee mbona mwavifanya Twende mombasa na Tanga, twende kule kule Pwani Mambo wanayoyafanya, sasa yako hadharani.... Ana hamu ana hamu ila ana gundu Kalilia bakora, kakutana na kirungu Mtu ana jino moja eti mswaki wa nini
  12. il principino

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    Mwenye kujua kuhusiana na suala la mwekezaji kupewa eneo la Polisi Oysterbay ili aliendeleze naomba anijuze zaidi, maana nimepita pale nikaona kuna baadhi ya nyumba za Polisi zimeanza kubomolewa. Mwenye kujua zaidi, naomba atujuze maana nasikia kuna mwekezaji kapewa eneo lile.
Back
Top Bottom