Nguli wa kuuza madawa ya kulevya akamatwa

Nguli wa kuuza madawa ya kulevya akamatwa

il principino

Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
16
Reaction score
6
Joaquin 'el chapo' Guzman, kinara wa kuuza madawa ya kulevya duniani ambaye alikua anatafutwa kwa muda mrefu na Serikali ya Marekani, alikamatwa jana.
 
Hii ndio habari inayomuhusu "nguli" hebu nenepesha hii habari au weka link!!!!!
 
Hao wamarekani wenyewe ndio wafanyabiashara hiyo kule Afghanistan na Serikali yao inalijua vema suala hilo. Hao itakuwa wamemkamata kwa kosa jingine kabisa sio la kuuza madawa. Akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Majangiri wa pembe za ndovu ni hatari zaidi. Biashara ya pembe za ndovu ina maslahi zaidi ya sawa za kulevya
 
Nilidhani nguli wa kuuza madawa hapa kwetu. Kwamba JK ameanza kuifanyia kazi ile orodha kumbe huko majuu! Msiturushe roho jamani.
 
Hao wamarekani wenyewe ndio wafanyabiashara hiyo kule Afghanistan na Serikali yao inalijua vema suala hilo. Hao itakuwa wamemkamata kwa kosa jingine kabisa sio la kuuza madawa. Akili za kuambiwa changanya na za kwako


Basi hakutakuwa na haja ya kuambiwa chochote kama kila unachoambiwa utakuwa unachanganya na yako. Huu tunaita uchakachuaji wa taarifa, jambo baya kabisa miongoni mwa mambo mabaya hapa duniani!!!!!
 
Joaquin 'el chapo' Guzman, kinara wa kuuza madawa ya kulevya duniani ambaye alikua anatafutwa kwa muda mrefu na Serikali ya Marekani, alikamatwa jana.

Ni habari nzuri, tunaomba utupe chanzo/ "source" ya habari hii.
 
Ni habari nzuri, tunaomba utupe chanzo/ "source" ya habari hii.

Mexico's most wanted man, drug kingpin Joaquin Guzman, known as El Chapo or "Shorty", has been captured in Mexico in what marks a major coup in a grisly fight against drug gangs.

After 13 years on the run, Guzman was captured early on Saturday morning in a hotel in Mazatlan, a resort city located on the Pacific coast state of Sinaloa, by US and Mexican law enforcement officials,

The US had offered a $5m reward for information leading to the arrest of Guzman, who is accused of being behind much of the drug violence that has plagued Mexico for years.

Attorney General Eric Holder said in a statement released by the US Department of Justice (DOJ) that the apprehension of Joaquin Guzman is a landmark achievement, and a victory for the citizens of both Mexico and the United States.

"Guzman was one of the world's most wanted men and the alleged head of a drug-running empire that spans continents," Holder said.

"The criminal activity Guzman allegedly directed contributed to the death and destruction of millions of lives across the globe through drug addiction, violence, and corruption."

Secretary of Homeland Security Jeh Johnson said: "The operation led by the Mexican government overnight to capture Joaquin "Chapo" Guzman Loera is a significant victory and milestone in our common interest of combating drug trafficking, violence and illicit activity along our shared border."

The DOJ hailed the arrest of Guzman and expressed their willingness to further collaborate with Mexico to secure the border region.

Drugs' war

Authorities in Chicago last year dubbed Guzman the city's first ‘Public Enemy No.1’ since gangster Al Capone.

His arrest deals a major blow to Mexico's biggest drug cartel, an empire that stretches along the Pacific coast and smuggles drugs to the US, Europe and Asia.

Mexican forces were acting on a tip-off from the US Drug Enforcement Agency and US Homeland Security intelligence, an official said.

The arrest is a major coup for the 14-month administration of President Enrique Pena Nieto, which captured the head of the ultra-violent and powerful Zetas drug cartel, Miguel Angel Trevino, in July 2013.

Nearly 80,000 people have died in drug-related killings in Mexico since former President Felipe Calderon sent in the army in early 2007 to quell the powerful drug bosses, a policy Pena Nieto has criticised but found tough to break with.
Source: Al Jazeera
 
Ningewaona wa maana kama wangemkamata mtengenezaji/mzalishaji
 
Weka picha.

JoaquinElChapoGuzman.JPG
 
Ingekua TZ huyu angekua mbunge au naibu waziri na asingetiwa nguvuni sana sana ungemuona kwenye matamasha mbali mbali akipigiwa makofi au akifadhili chama fulani
 
Wamezichoka hela zake chafu,kuna kipindi jamaa alikuwa anafadhili toka kampeni mpaka serikali iliyokuwa inaingia madarakani nchini Mexico
 
Bado dunia ipo ktk stalemate kuna mataifa uchumi unaendeshwa na drugs so hata hii vita mara nyingi inakuwa na interest za nani anafaidika na nini!Hapa ni mkono wa marekani angali Chris Dudu wa Jamaika ni yaleyele!!!!!
 
Ray c alipokuwa anahojiwa na bbc alisema wauzaji wa madawa yakulevya wanyongwe.niwatu hatari sna.
 
Back
Top Bottom