Karibuni Telegram
jaman Hii Kitu Kwenu Ina Work? Maana Naona Kwangu Madudu yamesha anza. Hamna Mawasiliano Kabsa .. Au Ndo wanaziweka Ads...
Telegram nayo inazingua
Telegram nayo inazingua
kuna kitu inaitwa BBM ushaisikia? ndio muda mwafaka wa kuijua
Facebook anaweka button ya share in fb