Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Haifanyi kazi ulimwengu mzima.
I guess so ila sina uhakika, huku Solomon Island its ..connecting..mda wote
Haifanyi kazi ulimwengu mzima.
BBM, Viber, WeChat, WhatsApp, Telegram, Badoo na Twitter zote nimo ila Viber ndio nilikua nimeizoea
Me inapiga
BBM, Viber, WeChat, WhatsApp, Telegram, Badoo na Twitter zote nimo ila Viber ndio nilikua nimeizoea
Bara gani upo?
Unapataga ata mda wa kutembea..??
The same haifanyi kazi.Na walioko nje ya tz jee haifanyikazi?
Tanzania
Nipo Kologne inafanya kazi kama kawaida
Nipo Kologne inafanya kazi kama kawaida
Now We Back... Ila Kuna watu wamesha eleweka vibaya leo... Napata Hisia