Mvua Kubwa Kunyesha

Mvua Kubwa Kunyesha

Tumia GENTAMYCINE Itakusaidia na Shida za Uchi au Utupu wa Akili na Wa Kufikiri Kama Si Kupambanua Mambo Ulionao Ila Wenye Akili Zao Ambao ni Wengi Wamenielewa na Mmebaki Ninyi tu MAJUHA.
hakuna aliyekuelewa tuliamua kukaa kimya kwa kuwa majibu ya hao wadau hapo yanatosheleza ila kwa kuwa umejaa ufidhuli na hulka ya 'mshindi mimi' bado unaliendeleza!endelea lakini wadau tunajua kuwa wewe na hiyo "profesheno yako ni gonjwagonjwa"hujui maana ya utabiri?hujui hali ya hewa inavyoweza kubadilika kwa muda mchache tu ikafutilia mbali prediction ya awali?
 
Tatizo Lako Lawezekana Likawa ni IQ Yako Ndogo, Malezi Uliyokulia na Ulikoipatia Elimu Yako Ukichanganya Pengine na Hata Walimu Waliokufundisha, ila Nimekusamehe. Isije Ikawa Nabishana Na Mtu Aliyepata Division 4 au 0 na Acha Kukumbatia MZINGA WA NYUKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kweli wewe ni mgonjwa, unashindwa kuelewa kitu kidogo hivi? Mdau kakuuliza wapi hapo kwenye Tangazo hili Dar imetajwa? Wewe unaleta reference za kwenye TV. Nani kakwambia maeneo yaliyotolewa tahadhari kwenye TV hayawezi kubadilika? Ungejibu kulingana na what is provided kny barua iliyopo hapa. Halafu unajifanya nye nyee nyee profession yangu. Profession my foot.....

hahaha poor him..akileta nye nye nye fimboooo.chapaaa
 
Tatizo Lako Lawezekana Likawa ni IQ Yako Ndogo, Malezi Uliyokulia na Ulikoipatia Elimu Yako Ukichanganya Pengine na Hata Walimu Waliokufundisha, ila Nimekusamehe. Isije Ikawa Nabishana Na Mtu Aliyepata Division 4 au 0 na Acha Kukumbatia MZINGA WA NYUKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa hiyo wewe elimu yako iliyobora ndio hii ikufanyayo ukose busara ya maneno na ustaarabu ktk mazungumzo baina yako na wenzako? Una hakika gani elimu yako wewe ni bora kuliko hao unaowatukana?
Utabiri unaweza kubadilika wakati wowote sama uharaka wa kututangazia matangazo hayo ya mabadiliko ni mtihani hapa kwetu ukichanganya na technology sasa wenzako wanajaribu kukueleza unatoa kashfa.
 
Mara ngapi tumepewa hizi forecast na zikaenda ndivyo sivyo? Acha kutokwa mapovu kwa mambo yenye ukweli. Kama wewe hujakua kojoa kalale maana utakua tu!

Meantime respect others posts, and it is not a sin to differ in views and still be in the same boat!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Duh....Watzee ni Shiiiiiiida....
 
Kwa hiyo wewe elimu yako iliyobora ndio hii ikufanyayo ukose busara ya maneno na ustaarabu ktk mazungumzo baina yako na wenzako? Una hakika gani elimu yako wewe ni bora kuliko hao unaowatukana?
Utabiri unaweza kubadilika wakati wowote sama uharaka wa kututangazia matangazo hayo ya mabadiliko ni mtihani hapa kwetu ukichanganya na technology sasa wenzako wanajaribu kukueleza unatoa kashfa.

Msafara wa mamba,kenge hawakosekani.....kavurugwa.
 
Kwa hiyo wewe elimu yako iliyobora ndio hii ikufanyayo ukose busara ya maneno na ustaarabu ktk mazungumzo baina yako na wenzako? Una hakika gani elimu yako wewe ni bora kuliko hao unaowatukana?
Utabiri unaweza kubadilika wakati wowote sama uharaka wa kututangazia matangazo hayo ya mabadiliko ni mtihani hapa kwetu ukichanganya na technology sasa wenzako wanajaribu kukueleza unatoa kashfa.

Tumsifu Yesu Kristo!!!!!!!!!
 
Tatizo Lako Lawezekana Likawa ni IQ Yako Ndogo, Malezi Uliyokulia na Ulikoipatia Elimu Yako Ukichanganya Pengine na Hata Walimu Waliokufundisha, ila Nimekusamehe. Isije Ikawa Nabishana Na Mtu Aliyepata Division 4 au 0 na Acha Kukumbatia MZINGA WA NYUKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Elimu yangu ni kidato cha pili tu ,shule na walimu wangu ni wa kata ila ukweli utabaki pale pale wewe ni zuzu uliyeenda shule ukakosa kuelimika! huna hoja ya msingi bali kebehi na kujiona halafu ujiite msomi? hivi tukiwapanga wasomi na wewe utajitokeza au utasubiri kundi la waliowahi kuhudhuria masomao?
 
Ulivyo JUHA Hujui hata Kiswahili na Nikikuambia Wewe ni -------- Unabisha! Hivi Ni Masomao AU Masomo? Sasa ndiyo Umedhihirisha Kuwa Nabishana na Mtu mwenye IQ Ya Punje Ya Mchele!!!!!!!!! Tafuta Maana Ya neno JUHA Kisha Ujitafakari.
 
Weather forecasting is the application of science and technology to predict the state of the atmosphere for a future time and a given location. Human beings have attempted to predict the weather informally for millennia, and formally since at least the nineteenth century.[25] Weather forecasts are made by collecting quantitative data about the current state of the atmosphere and using scientific understanding of atmospheric processes to project how the atmosphere will evolve.[26]

Once an all-human endeavor based mainly upon changes in barometric pressure, current weather conditions, and sky condition,[27][28] forecast models are now used to determine future conditions. Human input is still required to pick the best possible forecast model to base the forecast upon, which involves pattern recognition skills, teleconnections, knowledge of model performance, and knowledge of model biases. The chaotic nature of the atmosphere, the massive computational power required to solve the equations that describe the atmosphere, error involved in measuring the initial conditions, and an incomplete understanding of atmospheric processes mean that forecasts become less accurate as the difference in current time and the time for which the forecast is being made (the range of the forecast) increases. The use of ensembles and model consensus helps to narrow the error and pick the most likely outcome.[29][30][31]

There are a variety of end users to weather forecasts. Weather warnings are important forecasts because they are used to protect life and property.[32][33] Forecasts based on temperature and precipitation are important to agriculture,[34][35][36][37] and therefore to commodity traders within stock markets. Temperature forecasts are used by utility companies to estimate demand over coming days.[38][39][40] On an everyday basis, people use weather forecasts to determine what to wear on a given day. Since outdoor activities are severely curtailed by heavy rain, snow and the wind chill, forecasts can be used to plan activities around these events, and to plan ahead and survive them.
 
Ulivyo JUHA Hujui hata Kiswahili na Nikikuambia Wewe ni -------- Unabisha! Hivi Ni Masomao AU Masomo? Sasa ndiyo Umedhihirisha Kuwa Nabishana na Mtu mwenye IQ Ya Punje Ya Mchele!!!!!!!!! Tafuta Maana Ya neno JUHA Kisha Ujitafakari.
Kwako msamiati huu haupo eh?"typo error" tehe!tehe!umejuaje kama nilikusudia kuandika masomo? kweli we hodari!na bado unajiita msomi?
 
Utabaki Kuwa JUHA Mpaka Mwisho wa Pumzi Yako hapa Duniani. Nyerere Aliwahi Kusema Namnukuu " Ni Heri Uchi Wa Mnyama Kuliko Uchi Wa Akili " Nionavyo Mimi Wangu Ni Wa Mnyama Na Wako Ni Wa Akili.
 
Punguzeni munkari jamani daah !! Mmezidi sasa,.
 
Utabaki Kuwa JUHA Mpaka Mwisho wa Pumzi Yako hapa Duniani. Nyerere Aliwahi Kusema Namnukuu " Ni Heri Uchi Wa Mnyama Kuliko Uchi Wa Akili " Nionavyo Mimi Wangu Ni Wa Mnyama Na Wako Ni Wa Akili.[/QUOTE
Endelea kutoa nukuu usizozielewa na mifano isiyolingana,pia hukumu zisizo stahili,hivi kwa mtiririko wa majibishano yetu nani juha nani hana akili?au ngoja nikupe mwongozo wa kujibu,ni kipi kinacho kuthibitishia kuwa mimi ni juha? kuishia kwangu kidato cha pili au kuandika neno 'masomao' badala ya 'masomo'? halafu kitu kingine ,hivi unakumbuka msingi wa mazungumzo yetu ewe msomi wetu ?
 
Back
Top Bottom