Recent content by IKUGHA1964

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata zali toka toka kwa Liberian girl

    Utaibiwa ndugu yangu. Siku ya mwisho atakwambia utume hela kwa ajili ya gharama za kuzihamisha kuja kwako. Na hapo ndio itakuwa mwisho wa kuwasiliana naye. Hii story tena inahusu wasichana tu na visa vinavyofanana.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tangu Ujiunge JamiiForums, Mpaka Sasa Umenufaika Kwa Lipi?

    Nimejifunza mambo mengi ambayo sikuyafahamu kabla hasa katika siasa, mahusiano na teknolojia
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Andika kwa swahili: 12000 na 10002

    Kumi na mbili elfu, kumi elfu na mbili
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Pole sana, chuma majani ya mgagani yafikiche na yakishalainika weka matone ya maji kidogo. Changanya thn dondshea matone mawili sikioni. Ila yatatokea maumivu kiasi usijali.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

    Hapa tatizo ni ushamba, ndo mana 1995 mchonga alisema bado mdogo, alikuwa maana sana.
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi lugha sahihi?

    Neno sahihi kutumbukia
  7. I

    JamiiForums Tanzania Waumini Wa Serikali Mbili Tuvuteni Sox Haikuwa Wiki Njema Hii: Tubadilikeni Now!!

    tena anadanganya eti alienda jkt na kujiandaa vita vya uganda then azaliwe kuikuta tanzania. Vita ya uganda ilikuwa mwaka 1978, tanzania ilikuwa na miaka 14. Kwa hiyo anataka kutueleza nini?
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picture: Tanzania Boys Win 2014 Street Child WORLD CUP in BRAZIL

    Walioandaa ni wabunifu wazuri tuwape hongera. Mambo tunayaweza kinachotuponza midomo yetu.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

    Kinachotuumiza watanganyika ni oga uliokithiri, kukosa uzalendo, unafiki wa ajabu na umasikini wa akili uliokithiri.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCT na TEC: Msimamo wetu ni serikali tatu bila kujali hotuba ya JK

    ndugu yangu wee uko nchi gani? Kwani hujui kwamba 2010 zanzibar ilivunja muungano na kuwa serikali kamili? Uzanzibar upo ila utanganyika ndo unapigwa vita na watanganyika wenyewe.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    Poleni sana familia ya tupa.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imerudi

    a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

    ndugu inaeleka hata hujui warangi wanatoka wapi? Singida si kwao, kwao kondoa mkoa wa dodoma. Nadhani uingie kwenye majadiliano ukiwa na ulewa wa kutosha.
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

    Mikese paangaliwe sana hadi wachezaji wanawataka damu zao! Mungu epushia mbali.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Niijuavyo Freemasonry

    Kwa inavyoelekea na wewe ni mfuasi wa free mason kwa unavyojieleza sina shaka na hilo. kama hawana lengo baya hofu kwa ss inakujaje?
Back
Top Bottom