Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

Ngoja niwekee na video alafu usema ni kukwama huko lilikuwa linalalia upande wa kushoto kelele za hapo subili utaona mda si mrefu...

Kelele ndio ajali basi simba na yanga ukiingia taifa utaandika kitabu
 
Mbona hapo sioni haja ya kupita dirishani?gari limeegemea tuu na mlango wa abiria waweza funguka kwa nguvu siyo chali kama ajali zingine
 
Kelele ndio ajali basi simba na yanga ukiingia taifa utaandika kitabu

We ukikwama uwa unapiga "kelele tunaanguka tuokoeni jamani" au ningekuwa naongea Kikoloni au kuandika kikoloni ningesema ujanielewa lakini naongea na kuandika kizalendo kabisa.........!!!!
 
We ukikwama uwa unapiga "kelele tunaanguka tuokoeni jamani" au ningekuwa naongea Kikoloni au kuandika kikoloni ningesema ujanielewa lakini naongea na kuandika kizalendo kabisa.........!!!!
Achana na kizalendo

Pwani ni almanusra na bara ni wamenusurika!!!!!!
 
hivi rage hajui kwamba fitina za hivyo zimepitwa na wakati
 
Hii sijui ni ajali ya ngapi kwa mwaka huu yatokea Mikese...
 
Dereva alilala nini?poleni vibonde wetu ccm
 
YANGA WANUSURIKA: Wachezaji wa Timu ya Yanga na viongozi wanusurika asubuhi hii kufuatia basi lao kuingia kwenye mtaro Mikese, Morogoro, wote wako salama.

Ikumbukwe Yanga jana jioni walishuka katika dimba la Jamhuri mjini Moro kuvaana na wana tam tam Mtibwa Sugar ya Manungu. Mechi ambayo iliisha kwa suluhu ya bila kufungana.

Picha za ajali
:

attachment.php

attachment.php

Nini kilipelekea gari hilo kufika huko pembeni ya barabra??maana sijasikia chanzo cha hiyo ajali
 
Hiyo nayo ajali???
Hata bas haljaharibika????

Wachezaj wapone n vizur

ila bus kutoungua sio vizur
 
Back
Top Bottom