Tanganyika imerudi

Tanganyika imerudi

Ndiyo, Tanganyika huru irudi haraka sana. Maana watanganyika na wingi wetu tunadhalilishwa na wahafidhina hasa wa Zenj na ccm yao.
 
NDIO

...tumechoka kuishi utumwani Tanznia,tunataka kurudi nyubani kwetu Tanganyika kule kwa babu na bibi zetu...
 
Back
Top Bottom