Recent content by ikhwaan

  1. I

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Dahhhh kaazi ipooo Hadi wachungaji na maaskofu nao wamelamba mzigo???
  2. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    Hapa wanazingumziwa watz,CHADEMA imefata nn?? Mbona unatambaliwa na mdudu wa prejudice,kwanini usiweke chama chako nyuma na ukaweka mbele taifa Kwanzaa??
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya, Ahmed Kipozi, aiba mifuko 700 ya saruji

    Watanzania hawaeleweki,mtu akikaa kimya anasemwa hawajibiki mpole,akiwabwatukia wazembe wa utendaji anaonekana mbaya sasa AFANYE NINI?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mfano wa shule bora

    Pamoja na yoote bado shule Umefanya Vizur hongereni sana kwa matokeo haya
  5. I

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mahakama kwa Kesi ya Saed Kubenea dhidi ya AG kuhusu Mamlaka ya Bunge la Katiba

    Ni upuuzi wa ukawa hayo yameshindwa kusikika,ccm wanajifanyia Yao tu sasa wap wameangalia madaraka Vila kutazama mambo ya msingi Kama hayo ya ardhi local gvt,nk
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu continuous assessment

    Yesss very true
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya 1 - Septemba 20-21, 2014

    Hahaha umepanik
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msimamo wangu

    Mnhhhhh nguruwe pita Sina mkuki mieee
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

    Ninachouliza ni Kuwa HAKUWEZA KUYAONA KATIKA MAONO YAKE ILI AEPUSHE AJALI ??
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

    Jaribu kuelewa logic, TB JOSHUA amejizolea umaarufu kwa utabiri wa matukio ambayo yanatokea hapa duniani,kwanini Hilo la kwake hakuweza kuliona?? Mashekhe wa mtambani wao HAWATABIRI wanafanya ibada tu,
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

    Typing haziondoi uhalali wa hoja,just stick to the main argument
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

    Najaribu kuwaza,kwa saut ,Huyu Nabii wa Nigeria anayesifika kwa maono duniani TB JOSHUA ina maana hakuweza kuonA maono Haya ya kuanguka kwa jengo lake na kuweza kuwaepusha watu na maafa yaliyowakuta?? Watu wengi wamekufa,Wengi zaidi wamejeruhiwa,au Huwa anaona maono ya wengine tu kwake Haoni...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

    Yataje
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ni makosa ngani hutufanya tukosane kabisa na ndugu wa karibu."

    #Evelyn salt miss u
Back
Top Bottom