Japo una point ya msingi lakini nyuma ya ulichoandika unaongozwa sana na UBINAFSI... na hapa ndiko mlikofanikiwa sana kujiharibu kwa fikra za namna hii.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba na kila kitu.. hio ndio msingi wake.. mnapooana mnakua mmoja katika wawili na kila mmoja anakuwa sehemu ya mwenzake.... lakini mamlaka yapo kwa mume maana hilo andiko ulilorefer juu yake mwanamke anaambiwa na Mungu.."kwa kumtii nyoka(shetani) atazaa kwa utungo na uchungu utazidishwa.... TAMAA YAKE ITAKUA JUU YA MUMEWE NA MWANAUME ATAMTAWALA" kama unakubaliana na mwanaume kula kwa jasho bali ukubaliane pia na kutawaliwa (kumbuka kutawaliwa ni tofauti na kuongozwa"
Pili mke unatoka asubuhi unarudi usiku kila siku ya kazi... mume na watoto wanatunzwa na mfanyakazi wa ndani... halafu hela yako haionekani inachofanyia,,, nishwishi kwa nini usikae nyumbani???? hujaolewa uje uzae watoto na kuwatelekeza hapo kwa dada wa kazi then upate podium ya kwenda kusaka hela... NDOA NI TAASISI RASMI INA KANUNI NA SHERIA ZAKE... KAMA HAUKO TAYARI KUISHI KWAZO... BORA UBAKIE TU HUKO NJE KULIKO KUINGIA HUKU UKIONGOZWA NA UBINAFSI WA HALI YA JUU KIASI HIKO.
Maandiko yanasema ktk kitabu cha Petro... siku za mwisho watu watakua wenye kupenda pesa, wenye kujipenda wenyewe(wabinfsi)........."
Kinachonisumbua kwenye ulichoandika sio wewe kumiliki na kutawala vyako... lakini nyumba ya hio roho kuna nini (the push behind your thinking) ambapo wengi wakisoma hapa bila kutafakari iko wataishia tu kutoa povu.
ALL THE BEST THEN