Kuungua kwa msikiti wa Mtambani mashehe hawakuwa na maono?
Jaribu kuelewa logic, TB JOSHUA amejizolea umaarufu kwa utabiri wa matukio ambayo yanatokea hapa duniani,kwanini Hilo la kwake hakuweza kuliona?? Mashekhe wa mtambani wao HAWATABIRI wanafanya ibada tu,