Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

Na amesema 2week a go kuna mtu alitumwa ku plant bomu kashibdwa

So amepokea mail ya.mtu na picha yake katuma anaomba amuombee
Baada ya kushindwa kuplant bomu pale na kurudi kule anaogopa coz hajafankiwa kazi aliyotunwa

naona jambo linaendeshwa kigangaganga, badalaya kutuma wataalam kwenye site nyie mnapiga ramli!!
 
Nabii mwenye maini kwenye heading yako ulitaka kumaanisha nini?
 
toa habari kamili bana. Mi natiza Emmanuel TV hapa, LIVE. WANAIMBA TU.
 
Najaribu kuwaza,kwa saut ,Huyu Nabii wa Nigeria anayesifika kwa maono duniani TB JOSHUA ina maana hakuweza kuonA maono Haya ya kuanguka kwa jengo lake na kuweza kuwaepusha watu na maafa yaliyowakuta?? Watu wengi wamekufa,Wengi zaidi wamejeruhiwa,au Huwa anaona maono ya wengine tu kwake Haoni??? Cjapata jibu hapa nawaza sana

Nmeangalia akuna aliyekufa ni wamejeruhiwa tu......labda nikuulze katka maisha yako tokea umezaliwa maisha yako siku zote yamekunyookea tu au ujawahi kukutana na majaribu???
 
Kuna vitu vitatokea kwa sababu na huwezi kuzuia.Yesu alijaribu kuzuia kufa kwake kwa njia ile iliyotakiwa lakini alishindwa ili maandiko yatimie.Na kunawakati alisali mpaka jasho la damu lilimtoka bado Mungu akuzuia alijaribu kumsihi Mungu kwa kumwambia "ikiwezekana kikombe iko kiniepuke la mapenzi yako yatimie"
So Kuna mambo yanatokea kwa wanadamu kwa sababu
 
Ni jengo gani limeanguka? Footage ya hiyo ndege ikilizunguka hilo jengo imepatikana vipi? Na hiyo ndege ndio iliyorusha hilo bomu au jengo lilianguka tu lenyewe?

Sijaelewa chochote! Any help p'lse

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Cctv camera ndo zimeonyesha hiyo ndege imezunguka kama mara nne dkk tofauti tofauti theni ilipozunguka ya mwisho ndo ikadondoka pia kuna mtu katuma barua ya kuhusika
 
Back
Top Bottom