Recent content by ikhatibu

  1. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania HOJA Pale Kariakoo tuvunje shule ya Benjamin Mkapa na Uhuru mchanganyiko ili tupate eneo la Parking

    Nitajie gorofa gani k/koo lina underground parking? Kwanini tusiwalaumu waliojenga magorofa bila kuweka underground parking. Kila gorofa k/koo, Basement wameweka ma frame. Ilitakiwa itungwe sheria Nchini kote kila gorofa likijengwa kuwe na underground parking.
  2. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Duh!! Utabiri umetimia
  3. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  4. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Kati ya samaki wa maji chumvi/bahari na maji baridi unapenda yupi?

    Mjadala huishie hapa
  5. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Arsenal bingwa, nipeni chimbo la jezi OG Dar

    Agiza kupitia website yao. Jezi Original bei kuanzia laki 3 kuendelea huko
  6. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Chama kikuu cha Upinzani Benin chapigwa marufuku kushiriki Uchaguzi wa Urais 2026

    Kama kawaida ya Africa
  7. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Huku kwetu bendera, baiskeli, kofia, nguo za CCM hazionekani shida ni Nini wakuu?

    Nahitaji betri na tairi moja
  8. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Chuma imetulia. Km 820 unatoka Dar hadi Tabora bila kuchaji
  9. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hahaha kabisa
  10. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

    Naweka kambi hapa
  11. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Kataa michango ya harusi nipo hapa.
  12. ikhatibu

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Athari ya kutumia nguvu badala ya akili ndio hio
Back
Top Bottom