Kuna wanaotoa maoni kiushaabiki hapa, sidhani kama wametaka kuielewa hotuba ama ni upofu wa akili tu, sioni tusi lolote ndani ya hutuba hiyo, mtoa hutuba ametoa ufafanuzi juu ya uliberali sasa kama CUF wanafuata mrengo huo lkn hawa support ushoga ingekuwa sahihi wakawa wazi kuliko kukurupuka...
Ah! Kwa do nomad, miaka imekwenda, nilikuwa Pommern 1989 - 1992, headmaster Ngede, academic Mr. mgeni. Mgongo alikuwa machachari sana alikuja pale shule na Mwl mmoja merry sana anafundisha geography; Pommern ilikuwa yapendeza matunda kwa wingi sana
wedau 2015 mnaitajika kumpatia rais ajae washauri wazuri na wenye misimamo, akinamponda na wengine wanatoka katika jamii yetu na tumewachagua sisi, je hatukujua kuwa si watu wasio jua wajibu wao na wakishindwa wanastili kuwajibika!!!!! tunapasika tuanze kujilaumu sisi then tuweze kuwawajibisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.