Kwanini ume fikia tamati hii? Yaani tatizo la Clouds ni tatizo la IT Tanzania? wanawalipa kiasi gani hao wataalamu wao? Acheni bana hizi conlusion za jumla jumla.
kwel kaabisa, tatizo la clouds si tatizo la IT Tanzania, kuna wa2 wanatisha kwenye issue za IT bwana, na ndiyo maana they can even comment on their poor performance.
nini kifanyike, wabadili mtazamo, waajiri wenye maujanja ya IT, la hawawezi let seek advice.
unajua tulikuwa sensitive na update na kinachoendelea then unakuta mara wako offair, unstreaming, cut off now and then nk na nk....
actually wametuboa