Recent content by Ijura

  1. I

    JamiiForums Tanzania Part 1: TISS bado safari ngumu

    Viongozi wa nchi hii ndio wanaongoza kupeleka watoto wao kuajiriwa huko tiss itakuaje bora
  2. I

    JamiiForums Tanzania Majibu: Sijamtelekeza Baba yangu, Mzee Kigwangalla

    Kigwangala songa mbele sisi wenye akili tumekuelewa sana
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaridhia mbunge mteule wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu(CCM) kuapishwa. Maombi ya Lissu kupinga mambo kadhaa kutolewa uamuzi Sept 9

    Nchi ya ajabu sana hii ndugai kinachowekwa akiba sio fedha tu benki hata maneno huwekwa akiba wewe ropoka tu miaka iliyo baki ni mitano tu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania MUSIBA: Makamba ni nani katika nchi hii? hana lolote, na Hana cha kunifanya

    Hata makamba hana shida na wewe.endelea tu kumwaga mbumba zako miaka kumi itaisha tu.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Hoja za Mohammed Said katika Makala ya Uislamu na Siasa katika Tanzania

    Acha kudanganya watu wewe alicho kisema Mohamed saidi ndio ukweli halisi ukitaka ndio hivyo usitake ndio hivyo baki na chuki zako
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hizi Kauli za karibuni za Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru ni Msimamo wake au ni Mkakati wa Kujipendekeza na Kuwazubaisha Wananchi tu?

    Anacho kiongea bashiru ndio ukweli lakini kwa chama ni kama sio uhalisia maana anaongea maoni na mitazamo yake ambayo ndio hasa chama kinapaswa kua lakini kwa mtazamo wa CCM waliowengi ni kama anapiga kelele zisizo na maana ingawa najua rais anamuunga mkono
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume endeleeni kulala, kuna wanawake wazuri sana humu JF

    Mbona mimi siwaoni Mkuu?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Basi gani ni la kwanza kuingia Mwanza ?

    Mkuu Kwa sass ni Kisbo tu mengine unadanganywa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

    Walimu endeleeni kukaza heshima ya chuo irudi.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Muhimbili kuna utaalamu, dawa na vifaa tiba vya kutosha? Mbona majeruhi wengi wa moto wa lori la mafuta wanafariki?

    Naamini manesi na madaktari wametimiza wajibu wao ipasavyo
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kamilius huko wapi utuokoe tunakufa na njaa

    Huo ndio ubatizo wa moto kila mtanzania atauonja
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye uchumi wa kati raia wake hufa kwa kugombania mafuta?

    Serikali hii sio ya kulinda wananchi ni serikali ya majungu badala ya kuelekezana maana kiongozi akikosea haelimishwi ni kutumbuliwa Tu, serikali him ni ya kupelekana mahakamani na kufunguliwa kesi zisizo na dhamana serikali hii Kwa ujumla ni ya kukomoa watu serikali hii viongozi wapo bize...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye uchumi wa kati raia wake hufa kwa kugombania mafuta?

    Ulitaka viongozi wasifiwe Kwa upumbavu
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

    Mimi nashangaa sana hivi kabendera ni nani hasa katika nchi hii mpaka anapewa umaarufu usio na maana. Kwa nini serikali hii inapenda kufuatilia mambo ya hovyo na madogo sana yasio na maana yoyote.polisi na mahakama unajiaibisha sana na unaiabisha nchi yetu
Back
Top Bottom